Hili ndio Baraza la Mawaziri wa Tundu Lissu litakavyokuwa

Raisi- Tundu Antipas Lissu

Makamu Raisi- Salum Mwalimu

Waziri Mkuu- Bernad C Membe

Waziri/Nje- Lazaro Nyalandu

Waziri/ Fedha- Zitto Kabwe

Waziri Ulinzi- Esther Bulaya

Waziri Sheria- Halima Mede

Waziri Afya- Juma Duni Haji

Waziri Muungano- Ismail Jussa

Waziri/ Viwanda, Biashara na Uwekezaji- Freeman Mbowe

Waziri/ Tamisemi- Mnyika

Waziri/ Ndani- Godbless Lema

Waziri/ Michezo Burudani- Joseph Mbilinyi

Waziri Watoto Maendeleo ya Jamii- Suphian(kutoka ACT)

Waziri Uchukuzi- John Heche

Waziri Madini- Fatma Karume

Waziri Mafuta/ Gesi- Esther Matiko

Waziri Maliasili/ Utalii- Mch Msigwa

Waziri Ardhi- Godlisten Malisa


Waziri/Maji- Ado Shaibu

Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu- Maria Sarungi

Katibu Mkuu/ Kiongozi- Prof Assad
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mods msiunganishe huu uzi. Huu ni uzi kamili unaojitegemea
 
Kuna akili kubwa ya kijana anaitwa G. MALISA itakaa wizara gani?

Yule mtu hata CCM wanamtamani sana
 
Mange kimambi waziri wa unoko mitandaoni
 
Safi sana Rais wa Mbeya vijana watakula bingo, waandishi wa habari watamuelewa Waziri msela.

Kamanda Lema atakuwa wapi?
Msigwa utalii, Nyalandu arudishwe Mambo ya nje na ushirikano wa kimataifa!!
 
Baraza la mawaziri wa nchi ya kusadikika. Ikulu mtaishia kuiona kwenye TV.
 
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii itakuwa Nchi ya Mazwazwa!!!!!!!!
 
Ulinzi na usalama nyalandu hafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…