Hili ndio Baraza la Mawaziri wa Tundu Lissu litakavyokuwa

Acheni kuongelea mazoea na ushabiki. Chadema bado INA watu wengi makini sana kuliko CCM.
Na pia mtambue Rais bado anazo nafasi kumi za uteuzi wa Wabunge bora kabisa kuwapa uwaziri.
Lissu kesha ahidi serikali ndogo yenye ufanisi kwa hiyo hana shida ya Watanzania bora wakuunda baraza LA mawaziri.
After all watendaji wakuu na watumishi wa umma wenye ajira na uzoefu mbona wapo tuu!
 
Mbowe hawezi kuwa waziri mkuu,najua misimamo ya TAL ni mtu anayesimamia usawa na haki.Mbona kuna wasomi wengi tu wenye elimu kubwa ,uwezo na wenye upeo wa kutosha.Tatizo ccm wanafikiri wasomi wote waliopo nchi hii ni mali yao,Tena wanajidanganya kabisa kuwa wako upande wao wote.90% ya wasomi wa nchi HiI hawapendi unyanyasaji wa Ccm.Ila wanaogopa tu kuonyesha hisia Zao waziwazi.Huo ndo ukweli.10%wanaipenda tu kwa sababu ya nafasi zao.
 

Kama hawezi kuunda hata baraza la mawaziri kivuli, baraza halisi ataliundaje? Just asking!
 
Kama ruzuku 300mil kila mwezi, michango ya wabunge na pesa za mifuko ya majimbo zinaingia mfukoni mwa mtu mmoja. Mkipewa nchi si ndio mtakula mpaka na miguu ninyi. Maana hata ofisi mmeshindwa kujenga, yani mkipewa dola hata mkiumwa kichwa tu mtaenda India kutibiwa.
Watanzania makini, tutamchagua Magufuli. Kiongozi Mzalendo, mwenye uchungu na watu wake.
 
Akibahatika (sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano) basi aendelee na wachapa kazi wa JPM na awe tayari kwa kura ya kutokuwa na imani na uongozi wake
 
Wewe Yohana hatuzungumzii baraza kivuli tena...Baraza halisi
Litaendelea kuwa baraza kivuli mpaka hapo CDM au chama kitakapojitokeza kuwa serious kitakapojotokeza kunada sera serious na sio kupinga mambo ambayo yaliwapaiska kwa waTZ na baada ya serikali iliyopo kuyatekeleza wao watumie nguvu mara elfu zaidi kuyapinga yale yale waliyotetea. Mfano kusafirisha makanikia!!!!! Na Mpuuzi Tundu Lissu
 
Mbowe anatakiwa awe muweka hazina, pia waziri wa starehe na burudani
 
Thubutuuu Yani watu wateseke miaka yote halafu waje wengine wapate vya mporomoko.
 
Mbona hurudi aisee umekwama WAPI ??!!
 
Kwa vile Mbowwe anapenda ulaji kwenye hiyo nchi ya ufipa mngempa uwaziri was fedha

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa wakishindilia konyagi wanakuwa na vituko kweli,hapo mgombea wao kapumzika hotel ndo wanalapwa huku,uwaziri wa nyoko[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…