Hili ndio Gauni la Million 400 alilovaa Mchumba wa Haji Manara

Nilidhani msope ni mlemavu wa ngozi tu kumbe mpaka akili.

Anatuona mbuzi sana kutufunga kamba gauni la 400M???

Au we ndo Msope mwenyewe maana kwa nyuzi za Msope humu kila dakika unazipandisha.

Ko gauni la laki moja umezidisha mara 4000 uje utunyweshe chai ya rangi humu?

Kwenda fesbuku kule na insta kwa low IQ wenzio, shubamit kenge ww
 
Mzungu wa magomeni anaugonjwa wa kuzimia...nguo 400m zawadi gari la 20m
 
Hii dunia hii.

Wakati matajiri wakubwa wengi wanaoheshimika kabisa wanajisifia kwa kuweza kununua na kutumia vitu kwa bei rahisi kabisa na kubana matumizi, masikini wengi wanajisifia kwa kufanya matumizi makubwa kabisa yaliyopita uwezo wao.

 
Kama wametaja liliponunuliwa basi rahisi watu kwenda kujionea...la sivyo ni kama post #2 alivyosema.

Ila hivi why hawa celebs wanafikiri watanzania ni wajinga.. hawaishi kwa standards za ki celeb kabisaaaa

Shame..
 


Gauni linauzwa dola 2800 hivi, kwanza wamekodi, hivi huwa wanatuonaje?
Kama 7M Tshs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…