Hili ndio Gauni la Million 400 alilovaa Mchumba wa Haji Manara

Hili ndio Gauni la Million 400 alilovaa Mchumba wa Haji Manara

Hii dunia hii.

Wakati matajiri wakubwa wengi wanaoheshimika kabisa wanajisifia kwa kuweza kununua na kutumia vitu kwa bei rahisi kabisa na kubana matumizi, masikini wengi wanajisifia kwa kufanya matumizi makubwa kabisa yaliyopita uwezo wao.

Alafu ikitokea shida wanatembeza bakuli
Jamanii nichangienii

Ova
 
Jana ilikuwa siku kubwa kwenye safari ya penzi la Haji Manara na Zailyssa. Hili ndio Gauni alilovaa Mchumba wa Manara lenye thamani ya Million 400.

View attachment 2876313

Watu wa karibu na Zay wanasema material zilizotumika kutengeneza hilo Gauni ndio zenye thamani ya Million 400.

Nini maoni yako?
Halafu baadae tuanze kuwasikia wakiomba mchango wa kugharamia matibabu!
 
Ha ha ha kwamba huyo Binti hapo kavaa hii Mashine???

Haya

3b3a4347840f4047a5ba5bc3bb906a84.jpg
 
Jana ilikuwa siku kubwa kwenye safari ya penzi la Haji Manara na Zailyssa. Hili ndio Gauni alilovaa Mchumba wa Manara lenye thamani ya Million 400.

View attachment 2876313

Watu wa karibu na Zay wanasema material zilizotumika kutengeneza hilo Gauni ndio zenye thamani ya Million 400.

Nini maoni yako?
Manara ni limbukeni wa mapenzi na bishoo wa pesa!!
 
Back
Top Bottom