Hili ndio Gauni la Million 400 alilovaa Mchumba wa Haji Manara

Hili ndio Gauni la Million 400 alilovaa Mchumba wa Haji Manara

Jana ilikuwa siku kubwa kwenye safari ya penzi la Haji Manara na Zailyssa. Hili ndio Gauni alilovaa Mchumba wa Manara lenye thamani ya Million 400.

View attachment 2876313

Watu wa karibu na Zay wanasema material zilizotumika kutengeneza hilo Gauni ndio zenye thamani ya Million 400.

Nini maoni yako?


Wajinga jinga Chawa gani atatengeneza gauni kwa bei kubwa wakati anaoa kila miezi mitatu. Jamii ya siku hizi imekuwa ya wajinga jinga sijui kws mwendo huu tutawapita Kenya lini?
 
Kuna watu wana hela za mchezo. Gauni gani hilo sasa kwa 400M? Hapo Hata 1M baado amepigwa
Chips kavu na soda uswahilini ni sh 2100 hali airport ni sh elf 20.
Kila mmoja na status yake.
 
Malof tukipata shida sana makelele mengi kuongeza sifuri nk
Wakati mjini hapa kuna harusi zilishawahi kufanyika nguo nk ziliagiziwa ufaransa na Italy
Keki inatoka uingereza

Ova
 
Back
Top Bottom