Hili ndio Gauni la Million 400 alilovaa Mchumba wa Haji Manara



Wajinga jinga Chawa gani atatengeneza gauni kwa bei kubwa wakati anaoa kila miezi mitatu. Jamii ya siku hizi imekuwa ya wajinga jinga sijui kws mwendo huu tutawapita Kenya lini?
 
Kuna watu wana hela za mchezo. Gauni gani hilo sasa kwa 400M? Hapo Hata 1M baado amepigwa
Chips kavu na soda uswahilini ni sh 2100 hali airport ni sh elf 20.
Kila mmoja na status yake.
 
Malof tukipata shida sana makelele mengi kuongeza sifuri nk
Wakati mjini hapa kuna harusi zilishawahi kufanyika nguo nk ziliagiziwa ufaransa na Italy
Keki inatoka uingereza

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…