Hili ndio soko kuu la samaki Moshi, Mji unaondaliwa kuwa Jjiji

Kiasi fulani ni ukweli wachaga wanapenda wao kwa wao
 
Kwa hiyo tozo 500 kwa siku halafu hata choo wala maji ya kuoshea samaki hakuna? hivi nani alituroga sisi watu weusi?
 
Kila mtu anatafuta namna ya kula hela hata hilo hatuwezi Ita soko bali kijiwe cha samaki
Kwa hiyo tozo 500 kwa siku halafu hata choo wala maji ya kuoshea samaki hakuna? hivi nani alituroga sisi watu weusi?
 
Wachaga wakwe zangu nawajua ni pasua kichwa sana .
Na wako makini sana
Naweza nikasema pia ni wabinafsi
 
Walipotoka kulikuwa na miundombinu yoyote? Hakuna tofauti kati ya walipo na walipotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…