Hili neno tumeokoa milion 300/400/600 wahusika mbona amtuambii wanafika lini mahakamani

Hili neno tumeokoa milion 300/400/600 wahusika mbona amtuambii wanafika lini mahakamani

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Hakuna taarifa naumia nikisikia kwenye tv ... Tumeokoa mil300-500

Hawa waliohusika mnewafanya nn lini wanaenda mahakaman jamani

Hizi pesa xinaumiza mjue hapo n zahanati kadhaa vijijini

Tuwaombe mkichunguxa mkaokoa haya mtuonyeshe na hao wahuni wakienda mahakaman na kufungwa

Else mambo ya kuhamishana idara mkoa hii laana ya wizi haitaisha kamwee

Tuweke watu kadhaa mfano

Mbarikiwe
 
Back
Top Bottom