joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ndio uniambie unaonekana unahitaji husivyo vijua.Mbona viko wazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio uniambie unaonekana unahitaji husivyo vijua.Mbona viko wazi
Husipojua mahitaji yako ya msingi unaweza ukajikuta ukawa malaya ila indirect.Mwanaume muhongaji,pesa zote unahudumia malaya, vipi hiyo kauli
Ok mkuu.Asante sana
Kama ni ndoa ni sawa vipi kuhusu mahusianoWajibu wa mwanaume kuhudumia familia yake
Kwakwer nikijumlisha magumu nayokutana nayo kutwa nzima pesa ngumu alafu unakuta mwanamke anakwambia pesa unahonga aloooo hua ubongo unakua pyruuuuuuuWanawake tuliowengi kwa sasa tunaendeshwa na hisia tu badala ya uhalisia
Kwa sasa tunaamini na kuhisi kwamba iwapo mmeo hakupi pesa ya matumizi ya kutosha au akakwambia hana pesa kwa muda huo basi neno litakalotamkwa na mke wake au mpenzi wake ni kuwa amehonga pesa wanawake na kumnyima mkeo au mpenzi.
Hata Kama mwanaume anafanya saving kwa ajili ya kununua kitu fulani au kujenga na mwanamke atataka ajue huwa anasave Wapi na huwa anasave kiasi gani na asipoona hiyo saving basi neno kuhonga hutamalaki katika ndoa hiyo au mahusiano hayo
kuna mwanaume alimwambia mke wake kuwa pesa aliyokuwa nayo amemtumia mama yake kiasi cha laki 4,lakini mwanamke hakuamini na kupiga sim kwa mama mkwe kuuliza Kama baba D amemtumia pesa na ni kiasi gani?
Nashauri wanawake wenzangu tusiwape wanaume wetu msongo wa mawazo kwa kuwatuhumu kuwa wanahonga ,sikatai kuwa hawahongi ila wapo wanaohonga serious ila wengine wanahonga pesa za ziada extra money
Tuepuke kuhonga,kila kitu Umehonga,akiteteleka jambo fulani amehonga,akisusua kulipa kodi ya nyumba au ada ya shule amehonga
Tusiamini katika kuhonga ili wanaume wasiwe na msongo wa mawazo
NdioKwa hiyo wanahamisha rasilimali za familia au