Hili neno "Umehonga" linawapa msongo wa mawazo wanaume. Tafadhali tusilitumie kwa wanaume wetu

Asante kwa kututetea. Ni mara chache sana kukuta mwanamke anamtetea mwanaume, haswa katika mambo yanayohusiana watu wawili kati ya mke na mume.
 
Kwakwer nikijumlisha magumu nayokutana nayo kutwa nzima pesa ngumu alafu unakuta mwanamke anakwambia pesa unahonga aloooo hua ubongo unakua pyruuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…