Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

 
Kiukweli kama mi ningekuwa Ali kiba ningeona aibu kwa mapokezi haya nisiyostahili. Ona jinsi Darasa alivyopenya kipindi kile na wimbo wake. Sasa huu wa nitongoze unapenyeshwa. Halafu hata ukimwambia mtu aseme maana yake anajiumauma tu. Neno lenyewe halimamkiki hadharani ndio maana akalificha kwenye kingereza.
Tulitegemea kama kweli ni wimbo mzuri kina Mange wauache ujipaishe wenyewe. Hakika ni wimbo wa muda mfupi sana sema media zimeamua kuubeba.
 
100% correct. Yaani ndio yalikuwa mawazo yangu kabisa. Diamond should focus. Zamani mpuuzi alikuwa anaonekana ni Kiba na wivu wake sasa juzi ile verse ime reverse kila kitu. Sasa Diamond ndio anaoneka tatizo. Awe makini na media
Toka zamani diamond ndo alikuwa mgomvi sema ilikuwa chinichni na kiba alikuwa hajaanza kukubalika sanasana nje sasa baada ya kuona kiba anaanza kufanikiwa uvumilivu umemshinda akalitua pwaaa ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uselfish wa mond amewaambukiza na mashabiki zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story Ilianzia kwenye Fresh pale Cinderela alipotajwa
Ally akaja na Twitter Akajibu na Malikia wa nguvu akatajwa
Naseeb akarud na Verse ya Pili Omari nae akahusishwa
Omari akaona sio Case na Mama Chibu akapostiwa
Ally Akamaliza na Seduce Me Kick ikaanza
Wasafi wakaja na Zilipendwa Bifu likaongezewa
Mwisho wa siku Kiba ana 2M Viewers na Zilipendwa ina 1.3m Viewers
Chibu Ulicheza mchezo wa Ally Bila kutegemea na mwisho wa Siku Ally ameshinda
Next Time Play your Cards well Bro.
 
Umemaliza yotee[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio umeongea ukweli, hao wengine ni mashabiki tu.
 
Hizo views zinatengenezwa tu,hazina uhalisia.
 
Mtu kama wewe unastahili kutukanwa yaani Alikiba kafanya vizuri unaanza kulalamika akifanya diamond hakuna anayelalamika mara ngapi diamond kasifiwa kwa kufanya vizuri hakuna aliyepinga iweje kwa kiba?Ina maana wewe unaona hastahili?huu ni UKUKU
Wabongo wengine ni wanafiki na wana roho nyeusii!!yaani wao wanataka awe juu mtu mmoja tu kama kweli hawana chuki wampromote jux sasa
Wakubali wamesanda kwenye hili mchawi mondi mwenyewe wasisingizie clouds!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ustaa huwa una muda wake akubali kipindi chake kimepita.hata afanyeje hawezi kuwa staa milele
 
Wabongo wengine ni wanafiki na wana roho nyeusii!!yaani wao wanataka awe juu mtu mmoja tu kama kweli hawana chuki wampromote jux sasa
Wakubali wamesanda kwenye hili mchawi mondi mwenyewe wasisingizie clouds!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
alikuwa busy kuturingishia zari.aendelee na zari wake sisi tupo busy na music na kiba. mond na sallam wana madharau jamani .huwezi amini wanategemea watu kwenye kazi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…