Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

watu wakifurahia mziki wa kiba eti wanataka kumshusha mondi.. hivi mnataka msanii awage mond peke yake? mbona hata mondi akitoa nyimbo nzuri wanampa promo tu...
basi andaeni muswada muupeleke bungeni iwe marufuku kutoa nyimbo nzuri kuliko za mond tujue moja
 
Aisee mbona mnatapatapa namna hiyoo???au kisa SEDUCEME kuwa on top?????poleni sana term hii mengi yatanenwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini hampendi kuona wasanii wengine wakiwa Juu?

Alafu, inabidi muelewe kwamba kumpenda Ali sio kumchukia mond

Mkiona juhudi za kumuinua msanii mwingine, mnadhani wamataka kumshusha mond.

Acheni mambo yenu bhana. Kama mnaamini mond ni mkali si mkae kimya tuone ukali wake kuliko kila linalopangwa mnadhani anachukiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
i miss u siyo nyimbo ya kimataifa hii ni ya hapa home au unataka nn zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyimbo ya seduce me ni ya nyumbani au kimataifa? Halafu hapa tunaongelea nyimbo kufanya vizuri yaani nje nyimbo ifanye vizuri ndani iboronge? Huyo diamond tweets anatafuta vipande vipande anaunganisha na hata mpambe wa kiba anaweza fanya hvyo
 
Mkuu umeongea point sana kiba hajaleta jipya lolote ktk bongo fleva bt anavyopaishwa mi nadhani mond astaafu mziki halafu tuone watampeleka wapi kiba wao

Sent from my Phillips Savy
Acheni unafiki nyie watu.

Kipindi kundi la one8 linaundwa na msanii kutoka america inamaana alikosea kumchukua kiba?

Au alichukuliwa kwasababu hajui??

Yaani hizo team zenu zinachosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyimbo ya seduce me ni ya nyumbani au kimataifa? Halafu hapa tunaongelea nyimbo kufanya vizuri yaani nje nyimbo ifanye vizuri ndani iboronge? Huyo diamond tweets anatafuta vipande vipande anaunganisha na hata mpambe wa kiba anaweza fanya hvyo
Kwa mujibu wa maneno ya diamond mwenyewe alisema nyimbo hiyo siyo ya kimataifa siku iliyotoka kama anaunganisha vipande wewe si unatv jumapili angalia ijumaa angalia mwenyewe au ingia kwenye page zao kwenye mitandao ya kijamii kama ni uongo utajua tu mashabiki wa alikiba wanatabia ya kuunganisha paka cover vp nyimbo na justin bieber lini
 


huu ujinga ulioandika hapa ni too low kwa Ruge kuufanya na hawezi kuufanya.

hii nidhahiri pasua kichwa amewapasua haswaa.
 
Dimond ni msanii mzuri na mkubwa kuanzia nyumbani mpaka nje...
Sema kuna vitu vidogo ambavyo anavyo yeye mpaka management yake kwa hadhi aliyokuwa nayo wala hakutakiwa kuvifanya kwa sasa..

Yeye na team yake hawapendi kuona msanii mwingine anachomoza kuwa juu zaidi yao.. wakati wanasahau kuna kipindi inafikia fans huwa wanapenda msanii mwingine awe juu kuleta ushindani.

Wapunguze skendo watoe music mzuri then watu wataupokea..
Kutegemea fitna na skendo watajishusha halafu wataanza kutafuta mchawi.

Siamini Kama Clouds wanataka kumshusha Mondi.
 
Diamond ni msanii mzuri sana wapendwa lakini kuna kitu hivi karibuni kimezidi kumfanya apoteze mashabiki wake na kuongeza maadui yeye mwenyewe bila kujua

Kipindi cha hivi karibuni jamaa amekuwa ni mtu wa matusi ,majivuno ,vijembe kwa wasaniI wenzake na mashabiki zake
~kumwita hamisa bitch
~kuwaita mashabiki vichupi kunuka
~kumwambia dimpoz anapumuliwa
~kutoa remex kuwa hali vipusa
~kumchana kiba kwenye fresh remex
~kutoa nyimbo wakati mwenzake kashatoa ngoma

Yote hayo yamempotezea mashabiki wengi na kumuongezea maadui wengi tu bila yeye kujua

Kingine kinachomsababisha huyu kaka kupotea nI mahusiano yake na bibi zari tokea yaanze ndio yamezidi kumpotezea mashabiki kwani yamemfanya D kuwa mtu wa majivuno kisa zari, kashawatukana sana akina wema na hamissa,penny kisa zari so amuangalie vizuri huyu bibi ata?potezea fanz


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…