Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu


Hujamuelewa mtoa madaa,hata kama kweli dai hawez kushiriki kwa sababu ya sponsor.bado clouds wanaweza kutumia sababu hiyo ili ali kiba hawe juu waweze kufanya fiesta yao iwe na nguvu
 
loading error.............................
 

Huu uongo.zari ndio kasaidia kumbland diamond awe mfanyabiashara.hayo mengine ni mambo yenu ya uswahilini
 
Team yake watakwambia una wivu....kisa umewapa ukweli
 
Point tupu...ni wazi kabisa kuna nguvu kubwa inatumika kumshusha Dai na kumpandisha kibakuli. Naamini mziki mzuri utaishi milele na Juhudi huwa hazidanganyi.

Sent using Jamii Forums mobile app

CONNECT THE DOTS .........

Ilianza hivi: 5th July 2017
Ali Kiba has been named partner and shareholder to both the Record Label and Management Company Rockstar4000 in addition to the audio and audio-visual content company Rockstar Television. In his capacity as Director of Music Development, Alikiba will work closely with the groups Managing Partner, Seven Mosha and the Group Founder and CEO Jandre Louw.



Then ikawa hivi: 22nd July, 2017
Seven Mosha (Meneja wa Ali Kiba) anatangaza tangaza partnership between Rockstar na Clouds Media Group. The partnership, among other things, will revolve around Fiesta and other events beyond FIESTA2017. So, KIBA ni partner wa Clouds Media Group. Je, hakuna motive behind ya kumbeba Ali Kiba? Vipi kuhusu wasanii wasiokuwa na partnership na CMG? Is it fair play for them? Je, sheria za media ownership zinasemaje kuhusu impartiality?

Ikumbukwe pia Ruge alishasema kwenye Clouds 360 kuwa mwaka huu Fiesta hakuna msanii kutoka nje lengo likiwa ni kuwakuza wasanii wa ndani na kuwapa platform. Unganisha ya hashtag ya Seven Mosha [HASHTAG]#SupportingLocalTalents[/HASHTAG] then unapata maana. A DECISION HAS ALREADY BEEN MADE TO GO WITH KIBA AS THE HEADLINER FOR FIESTA 2017 and support him beyond Fiesta2017.

Wakubwa wameamua domination ya Diamond imetosha. Ni zamu ya Kiba now. Time to buildup Kiba and take him to the international stage by giving him the platform he didnt have in the past. Hii ni partnership yenye nguvu sana haijapata kutokea na Diamond hataweza kushindana nayo (CLOUDS MEDIA GROUP + ROCKSTAR TV). Option pekee aliyonayo Diamond na WCB yake ni kujoin them (If you cant neat them, join them).

 

Attachments

  • ss.jpg
    72.1 KB · Views: 43
Wewe kubali Alikiba amefanya vizuri achana na kuandika pumba kwani ukikataa diamond atakufanya nini?
 
Wasanii wasipo jua thamani yao watamtafuta mchawi miaka yotee wasimpate diamond juhudi zako endeleza utaendelea kuwatoa jasho miaka yote acha wajishushe thamani wapaishwe kwa visa ila hawatapata unacho pata, narudia tena mwaka huu hatutakua na msanii kutoka nje by ruge [emoji23][emoji23] mondi akili kichwani beichee anatafutwa apo kisa watu wataaminishwa ni mkubwa kuliko wewe we bei zako si zinajulikana lazima uundiwe tume ya maangamizi, acha wa miamia kama maembe wapaishwe mwisho wasiku mbio zao zitaishia ukingoni somo katika kitabu cha wadanganyika 9:20 - 17
 
Hujamuelewa mtoa madaa,hata kama kweli dai hawez kushiriki kwa sababu ya sponsor.bado clouds wanaweza kutumia sababu hiyo ili ali kiba hawe juu waweze kufanya fiesta yao iwe na nguvu
Sasa kuna kosa clouds kumtumia mtu mwingine tofauti na unayemtaka wewe ambae mikataba yake aliyoingia na makumpuni mengine inamfunga kushiriki ? Muda mwingine muwe na akili ya kujiongeza Diamond hata yeye anajua kua hawezi shiriki Fiesta kutokana na mkataba wake na Vodacom sasa nyie mnayoyatengeneza na kuyakuza ili kuichafua Clouds sijui mnatoka wapi kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli nmepemda mchango wenu namm niseme kdg

Mwandishi kwanza una walakin sana umeonyesha dhahiri ww ni shabiki wa daimond kwasabab hamna hata sehem umempa nafasi kibakuli
Pili umejisahaulisha na labda hujui kuwa daimond bado ana mkataba na voda
Pia jiulize kwan katoa nyimbo ngapi mpaka mje muanze kuisemea zilipendwa

ACHA UNAFKI WA KUONYRSHA WW NI MCHAMBUZI KUMBE MGANGA NJAA TU
je daimond anakupa hata mia au hyo kiba anakupa nn
 
Mkuu umeongea point sana kiba hajaleta jipya lolote ktk bongo fleva bt anavyopaishwa mi nadhani mond astaafu mziki halafu tuone watampeleka wapi kiba wao

Sent from my Phillips Savy
Unamawazo kama yangu Mondi angestaafu mziki af tuone sasa
 
Amepata
KAKA NAOMBA NIKUNUNULIE LUNCH!
kiroho safeeey!
Moderator naomba andiko hili limeende juu kukazia nilichoandika. Pamoja na attachments zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…