kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Hali ni mbaya na ubaya ya Diamond alikuwa ame base sana Clouds fm now hana media ya kuitegemeaCONNECT THE DOTS .........
Ilianza hivi: 5th July 2017
Ali Kiba has been named partner and shareholder to both the Record Label and Management Company Rockstar4000 in addition to the audio and audio-visual content company Rockstar Television. In his capacity as Director of Music Development, Alikiba will work closely with the groups Managing Partner, Seven Mosha and the Group Founder and CEO Jandre Louw.
View attachment 577298
Then ikawa hivi: 22nd July, 2017
Seven Mosha (Meneja wa Ali Kiba) anatangaza tangaza partnership between Rockstar na Clouds Media Group. The partnership, among other things, will revolve around Fiesta and other events beyond FIESTA2017. So, KIBA ni partner wa Clouds Media Group. Je, hakuna motive behind ya kumbeba Ali Kiba? Vipi kuhusu wasanii wasiokuwa na partnership na CMG? Is it fair play for them? Je, sheria za media ownership zinasemaje kuhusu impartiality?
Ikumbukwe pia Ruge alishasema kwenye Clouds 360 kuwa mwaka huu Fiesta hakuna msanii kutoka nje lengo likiwa ni kuwakuza wasanii wa ndani na kuwapa platform. Unganisha ya hashtag ya Seven Mosha [HASHTAG]#SupportingLocalTalents[/HASHTAG] then unapata maana. A DECISION HAS ALREADY BEEN MADE TO GO WITH KIBA AS THE HEADLINER FOR FIESTA 2017 and support him beyond Fiesta2017.
Wakubwa wameamua domination ya Diamond imetosha. Ni zamu ya Kiba now. Time to buildup Kiba and take him to the international stage by giving him the platform he didnt have in the past. Hii ni partnership yenye nguvu sana haijapata kutokea na Diamond hataweza kushindana nayo (CLOUDS MEDIA GROUP + ROCKSTAR TV). Option pekee aliyonayo Diamond na WCB yake ni kujoin them (If you cant neat them, join them).
View attachment 577231
Sent using Jamii Forums mobile app