Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

CONNECT THE DOTS .........

Ilianza hivi: 5th July 2017
Ali Kiba has been named partner and shareholder to both the Record Label and Management Company Rockstar4000 in addition to the audio and audio-visual content company Rockstar Television. In his capacity as Director of Music Development, Alikiba will work closely with the groups Managing Partner, Seven Mosha and the Group Founder and CEO Jandre Louw.

View attachment 577298

Then ikawa hivi: 22nd July, 2017
Seven Mosha (Meneja wa Ali Kiba) anatangaza tangaza partnership between Rockstar na Clouds Media Group. The partnership, among other things, will revolve around Fiesta and other events beyond FIESTA2017. So, KIBA ni partner wa Clouds Media Group. Je, hakuna motive behind ya kumbeba Ali Kiba? Vipi kuhusu wasanii wasiokuwa na partnership na CMG? Is it fair play for them? Je, sheria za media ownership zinasemaje kuhusu impartiality?

Ikumbukwe pia Ruge alishasema kwenye Clouds 360 kuwa mwaka huu Fiesta hakuna msanii kutoka nje lengo likiwa ni kuwakuza wasanii wa ndani na kuwapa platform. Unganisha ya hashtag ya Seven Mosha [HASHTAG]#SupportingLocalTalents[/HASHTAG] then unapata maana. A DECISION HAS ALREADY BEEN MADE TO GO WITH KIBA AS THE HEADLINER FOR FIESTA 2017 and support him beyond Fiesta2017.

Wakubwa wameamua domination ya Diamond imetosha. Ni zamu ya Kiba now. Time to buildup Kiba and take him to the international stage by giving him the platform he didnt have in the past. Hii ni partnership yenye nguvu sana haijapata kutokea na Diamond hataweza kushindana nayo (CLOUDS MEDIA GROUP + ROCKSTAR TV). Option pekee aliyonayo Diamond na WCB yake ni kujoin them (If you cant neat them, join them).

View attachment 577231
Hali ni mbaya na ubaya ya Diamond alikuwa ame base sana Clouds fm now hana media ya kuitegemea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure mkuu siku hizi amekuwa mtu wa kujibu kila kitu sijui nini kimempata.
Mara ya kwanza ilikuwa kuwa kiba ndiye anamtafuta diamond na diamond hamsemi kiba lakini juzi game limechange.
Siku hizi diamond anapost ujinga ujinga hilo linampotezea sifa. Yani angekuwa kama zamani asingepata kipigo alichopata hii week yani kajichanganya na bado atazidi umia.
Kuna tuzo wanashindania nje yeye na alikiba kwa mwendo huu na uhamasishaji huu, I am sure kura za kiba zitakuwa nyingi.
I think kama mdau alivyosema inabidi aache sana post kwenye social media aweke mtu awe ndiye anadeal na kupost na awe anapost kazi kazi tu mengine yanayoongelewa juu yake awe anapiga kimya kama zamani.
Yani alikuwaga anakaa kimya kiasi kwamba ikitokea ameongea watu watasema aisee kaongea kwakuwa yamemfika shingoni kasemwa sana ila siku hizi full kujibu tu.
Umemaliza [emoji817]
 
Mkuu umeandika post ya maana sana.

Diamond wetu wee huu nao ni upepo utapita tu. Tunashukuru kwa booster uliyompa kibakuli na timu yake wameweza kutufanya tusipumue. Diamond wewe utabaki kua diamond hata iweje.
 
mkuu kiba anajua sana...acheni kupingana na wakati dai ni mzuri lkn kiba ni mzuri zaid...
Uzuri wake kitu gani? Ebu tuache story za vijiweni.
Unataka sema kibakuli anaimba kuliko wasanii wote hapa bongo ama?
 
196dc03302ab087386141f349800279e.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fiesta inaanza lazima Ruge apate mbadala wako ambaye bei yake itakuwa ndogo. Lazima Ali awe mkubwa. Mdogo wangu Dai unakumbuka kwanini inapokaribia fiesta tu basi mazingira yanaandaliwa ya Kiba kupandishwa. Juzi umejichanganya mwenyewe ulipoambiwa changamsha mziki kwa bit LA fresh eti wanasiasa wana kiki now..ukatoa verse, ukajichanganya..imekucost..

Kiba katoa nyimbo, kuna mdau 1 clouds akaniambia usiku na wewe utatoa nyimbo..ukatoa..ikakucost tena.

Nasibu Abdul hajawahi kuwa adui na Clouds Media. Tatizo ni Udiamond wako. Tatizo ni kuwa maarufu zaidi yao nje na ndani ya Nchi. Tatizo bei yako ya show..napenda spirit yako..unajua hata shigongo anakuchukia sana..kisa tu ulikataa kupiga show kwa 10 mil Mbagala. Eti unalinga..Diamond we huRingi..but unajua thamani yako.

Sisi wadanganyika tunaaminishwa eti Kiba mkali..seriously..?? Shilawadu wadau wako walikuponda sana kwenye kipindi chao juzi.. eti hata kutukanwa ulijitakia.., 360 Leo wamemaliza kabsa..eti Kiba mkali sana. Haumuwezi.

Kiba anapandishwa kwa sababu ya Fiesta. Hawa wakina Dulla, Kimambi mkumbo tu wanacheza ngoma wasiyoijua.

Hii yote ni fiesta tu.. anatafutwa msanii aonekane anacaliba yako but bei yake ndogo. Kiba atazunguka Fiesta zote kwa malipo ya 3 milion kwa show (kiba huwa anapiga show hata club hii pesa) wewe huwezi kukubali hii. Fiesta watakayoweza kukulipa ni ya Dar tu.

Diamond hauna dharau kabisa, upo humble, msela..mcheshi..!! Watu wanakushauri eti Sallam hakufai.. Sallam anakufaa sana, lazima uwe na meneja msela, mwana, muhuni,.msela sallam wa forest Moro kazi anaifanya vizuri sana.


Ushauri
1- Kuwa na wigo mkubwa wa Media (unajua hata efm hawapigi ngoma zenu kivile(ongea na Mlezi wenu, hili dogo kwake) wakina dulla wanasema unadharau sana. Eti wewe kila kitu clouds yaani wao unawachukulia poa. Ongea nao yaishe.. hakuna msanii alikua juu ya Media.

2- Imarisha brand & PR. Tafuta mtu wa kupost picha zako na kuandika kwenye account yako. Wewe ni mzuri kwenye kuimba tu.. haya ya kupost mtafute mtu sahihi. Usiwape sababu..
Juzi umeandika bitch dying for fame..usinge andika bitch..ungecheka tu basi.

3- Zikaushie siasa. Naishia hapo.


Last, kiba siyo size yako. Kuwa makini sana na Clouds unakumbuka fiesta ya mwaka juzi walivyoinjinia mpaka ukazomewa.. mwaka Jana hukushiriki na mwaka huu usishiriki. Andaa show zenu wenyewe na wapambe wenu kama wakina shish baby, killer, stamina..n.k

Clouds wamedhamiria kukushusha kabisa. Hawakuchukii tatizo bei yako. Clouds wanaamini wao ni wakubwa sana kwa hiyo hutakiwi ku bagairn. Wasanii bila kuwa kitu kimoja mtakawanywa sana.

Kwepa kumzungumzia kibakuli au yule sijui mange Kimavi asiye jua hata mipaka yake.


Sangoro sangoro sangoro...X 3
Ooohh ooooh ohhhho

Kibakuli ni anabebwa sana.. but laiti angekuwa na kipaji hata robo yako tungeongea mengine..tatizo Kiba uwezo mdogo.

Kwani kale ka mange kimavi kanakupa homa kale..!!

Kuchukiwa na Wema, Jokate, Penny, Wolper hiyo kawaida sana.. pay the price brother. Ulikula wote hawa. Ulifaidi japo. Kwa hiyo vitimu vyao visivyo hata na us a hook tegemea tu matusi yao.

Seduce kwa upande wao inaweza kuwa nzuri but haifanyi eti ndiyo Kibakuli ndiyo ameshakuwa juu ya Diamond, kwa kipi?

MTV wanasema Diamond anaipeleka Tanzania to the World. Huyu msanii wenu anaitoa Tanzania to Mombasa. Eti diamond kamtukana mobeto..we ungemjua mobeto bila diamond. Kanyimbo kenyewe kabaya tu.

Ruge ni bepali anaangalia maslahi zaidi ya utu. Fatilia connection kati ya Rockstar TV na clouds Media. Wana mkataba kwa ajili ya kusupport mziki wa ndani. Kwa sasa alikiba nae ni director wa rockstar.

Huyu binti seven mosha raia wa Kenya na mtangazi wa zamani wa clouds ndiyo ana injia haya yote. Kwa vile diamond hapendi kusema tu but huyu binti kambania sana zamani kipind diamond anataka kupigia nyimbo zake MTV base ya afrika seven akiwa mfanyakazi wa MTV base
Kaka umetoa ya moyoni kama yote
Any way barikiwa sana
 
Back
Top Bottom