Hili ni jiwe gani?

Hili ni jiwe gani?

Habari wakuu, Kwa anayefahamu hili ni jiwe gani?
Nimeokota pembezoni mwa mlima wanapochimba udongo (BORROW PIT) wa ujenzi wa reli ya SGR Dodoma huku.
View attachment 2112522
View attachment 2112536
Mega kipande kidogo uende kwa jamaa wanaohusika na madini. Usiwaambie kwamba unalo bonge nyumbani umeliacha utanyang'anywa pumbavu wewe! Sasa hivi kuchinjana imekuwa rahisi sana hivyo jamaa wanaweza kukuchoma sindano ya sumu. Si umesikia kule Mtwara polisi walichukua madini ya dogo? Hiyo mwanawane inaweza kuwa dhahabu. Hivyo ukimega kipande kidogo unaenda kusikilizia.
 
Kiutani utani utakuta unakuwa Laizer wa pili bilionea😆
 
Back
Top Bottom