Hili ni jiwe gani?

Hili ni jiwe gani?

Kuna sehemu moja zambia panaitwa luapula,nlikuwa naenda kuyakusanya naleta bongo na kg mpaka 40,50 top quality

Ova
 
Mwambie mdau asije akafikiria labda ni jiwe la thamani kumbe mawe yanayouzwa kwa maloti mpaka kg

Ova
Sure, labda kidogo Quartz, Amethysts ingawa nalo hadi likatwe (faceting) na bei yake haina unyama kiivo
 
Mkuu usimuonyeshe mtu mwingine yeyote hilo jiwe
 
Kama citrine vile kwa unjano wake
Ila ungeipiga picha hata juu ya kitu cheupe badala ya cheusi maana inaonekana ni crystal
Ila kama ni hili jiwe ninalofananisha basi halina thamani
 
ndiyo yenyewe ila ikiwa haijafanyiwa cutting(rough) haiuzwi kwa carat inauzwa kwa grams
Hapo hakuna kitu maana bei ya yellow quartz ni Kama $3600/Kg. Hapo anajitaji ayakusanye ya kutosha na bado hayana soko mpaka apate mnunuzi.
 
Daah usiku wa Leo nimeota naokota madini ya aina ya Diamonds yanang'aa kweli,nikawa nafurahi mnoo na roho yangu ni sehemu fulani ambayo ina mchanga mchanga.
Ile moments ilikuwa ya kuvutia sana ndotoni natamani isingeisha,hadi nashtuka usingizini nikawa najilaumu sana kwann imekuwa ndoto..

Naamka asubuhi nakutana na thread ya kuokota mawe tena, ina maana gani hii?mbona mnanirudisha ndotoni tena?
 
Kuna mtu anatafutwa
Umeona eeh...well..kwa mim mtaalam naweza sema hyo ni chupa..stak kuongea sana...kama sio nas ni volcanic glass hyo..ina conchoidal structures za kutoshaa

Laa hasha anataftwa mtu apigwe hapa...usiniulize sana..nsije nkaharib biashara
 
Back
Top Bottom