Ulimpigia goti shemeji?Hivi ni kwanini mtu akiuliza maswali anaonekana Kawa mbogo
Unaweza piga goti ila kwa huyo hapo pichani me hata kuchukua bure hapana😳😳😳
Kupiga goti ni ishara ya kuti mamlaka iliyo juu yako bila kujali ni tukio gani.Mambo ya goti ni tamafuni ya ulaya. Afrika hamna hiyo kitu, na kuna jamii nyingine za kiafrika binti akiondoka nyumbani analia balaa, sijui sababu anakua bado mdogo?! Lakini siku hizi!? Mdada mkavu na anakunywa pombe kabisa! Anyways tuombe tu ndoa zidumu
Yaani sababu umelipiga mbele za watu maana magoti mnayapiga sana tu.
Hapana. Ni ulimbukeni na uzwazwa tulioigiza kwa wazungu bila kujua hata maana yake. Akikupigisha magoti halafu unaanza kulalamika. Kampigie goti biinti wa kichaga uone atakavyokunyonyoa.
😃😀😀😀Raha mnapata woteeWill you marry me?
Anayeomba na anayeombwa nani anatakiwa kunyenyekea?
Blaza uliipigia goti nini 🤣Umekwisha kivip? Yani upige goti halafu ukwishe wapi na kwenye nini?
Na unipe mechanism ya kupiga goti imeshababisha vipi ukwishe?
Sioni tatizo kama ingenipasa kufanya hivyo ningepiga tuBlaza uliipigia goti nini 🤣
Sawa mkuu ila mimi hapanaSioni tatizo kama ingenipasa kufanya hivyo ningepiga tu
Sawa mkuuSawa mkuu ila mimi hapana