Hili ni kosa kubwa sana wanaume huwa tunalifanya bila kujua impact yake

Hili ni kosa kubwa sana wanaume huwa tunalifanya bila kujua impact yake

Huu bado unabaki kuwa uzushi na porojo za vijiwe vya kahawa , vijana wasasa mnajishtukia sana mbele ya hawa wadada wanaojitambua kielimu na kiuchumu .
 
If a woman goes down on one knee during an engagement ring moment, it means she’s proposing to you to be her fiancé. But if you’re the one kneeling, it means you’re the one proposing to her.
 
Ishara ya kupiga Goti nikuomba/ku proposal,kutuma ujumbe wa dhati kuwa naomba niwe mchumba wako kitendo hiki kiisharia umeji comiti na uchumba wa dhati , na mtazamo wa kitamudi ni mwanaume ndio anaomba uchumba , so kama mwanamke ndio ataka uchumba kwako atakupgia goti akuvishe pete
 
Kutokula ugali Kuna fanya usiwe mwanaume


Mwanaume anakuaje mweupe


Kupiga magoti kwa mwanaume ni udhaifu

Mwanaume haupaswi kula chips

Mwanaume una angaliaje movie za mapenzi


Huuh wote ni uzushi na porojo tu
 
Back
Top Bottom