Hili ni kosa kubwa sana wanaume huwa tunalifanya bila kujua impact yake

Hili ni kosa kubwa sana wanaume huwa tunalifanya bila kujua impact yake

Kupiga goti ni ishara ya weakness
Duh ukishajipiga kitanzi ndio imeisha hio
Screenshot_20260105_171921.jpg
 
Nilishawahi kuondoka kwenye sherehe ya engagement kwa sababu ya huu upuuzi. Mwanaume anapiga goti kwa kusema kweli nilighadhabika sana. Niliona katufedhehesha wanaume wote tuliopo pale. Nikashindwa kuendelea kuwepo kwenye hilo tukio, ikabidi niondoke immediately.
 
Kupiga goti ni ishara ya heshima,utii na unyenyekevu, mimi kila siku huwa nampigia goti mke wangu kumuomba mbususu,na akinipa yeye hugeuka kuwa mpiga magoti mpaka zoezi lile liishe.
 
Ndio uniambiae wewe na kunifafanulia kwa kina ni kivip wap na vipi kunafanya niwe dhaifu?

Na nivitu Gani vinafanya niwe strong halafu kupiga goti tu kusababishe ghafla kuwa dhaifu.
Muulize Countrywide atakuelezea kwa upana zaidi
 
Nilishawahi kuondoka kwenye sherehe ya engagement kwa sababu ya huu upuuzi. Mwanaume anapiga goti kwa kusema kweli nilighadhabika sana. Niliona katufedhehesha wanaume wote tuliopo pale. Nikashindwa kuendelea kuwepo kwenye hilo tukio, ikabidi niondoke immediately.
dah,
inatia hasira sana dume zima linapiga goti huku likisema will you marry me
Pumbavu kbsa
 
ndiyo,
maana hutambui hata keywords za hii mada zinamaanisha nini
Sema ni mechanism Gani inafanyika mpaka ghafla nilikua Sio dhaifu ila nilipo piga goti nikawa dhaifu ghafla , kinyume na hapo hizi ni porojo za watu wasiojiamini tu
 
Back
Top Bottom