Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,929
- 7,927
Kamwe sitafanya huo ujinga
Bila maelezo ya kina ni porojo na uzushiupupu maanake unawasha sio?
HAYA LAND HOV akitaka kushiri tendo na mkewe asipopiga magoti hapewi. Lucas Mwashambwa hadi alie kabisa.
Mods walipaswa kuupeleke huu Uzi kwenye utani na vichekesho
SawaUpeleke wewe
Changamka
Mkuu ulimpigia goti shemeji? Naona umekua mbogoSema ni mechanism Gani inafanyika mpaka ghafla nilikua Sio dhaifu ila nilipo piga goti nikawa dhaifu ghafla , kinyume na hapo hizi ni porojo za watu wasiojiamini tu
Hivi ni kwanini mtu akiuliza maswali anaonekana Kawa mbogoMkuu ulimpigia goti shemeji? Naona umekua mbogo
Yani mmeacha kujadili mada mmeanza nijadili😅 Mimi nimeuliza maswali tu Wala Sio kwa ubayaBachela huyo hajui hata nini maana ya kupiga goti..
Mada yako ni uzushi na porojo za kwenye vijiwe vya kahawa na bila shaka nyie ndio wale mnaamini kuwa na magamba kama Samaki mwilini ndio Kua mwanaumeBachela tulia
Tuishie hapa kama hakuna majibu , kwa sababu kitaka choendelea ni utoto na kuvunjiana heshima ambayo tumeijenga humu bwasheeRelax
Mambo ya goti ni tamafuni ya ulaya. Afrika hamna hiyo kitu, na kuna jamii nyingine za kiafrika binti akiondoka nyumbani analia balaa, sijui sababu anakua bado mdogo?! Lakini siku hizi!? Mdada mkavu na anakunywa pombe kabisa! Anyways tuombe tu ndoa zidumuGoti halina umuhimu, nimelinganisha ili mleta mada aone kaandika upupu