Wewe ulie anzisha mada ungetolea maelezo maana yake ili unaposema ni udhaifu tuelewe na utueleze kivipNijibu kwanza unajua maana ya kupiga goti??
Bila maelezo ya kina ni porojo tu hiyo mbona ipo waziOk ni porojo
Tukisema haya ni matumizi mabaya ya hasira tutakua tunakosea mkuu?dah,
inatia hasira sana dume zima linapiga goti huku likisema will you marry me
Pumbavu kbsa
Zitabaki kama utashindwa kueleza undani wa madai yakohizi porojo naomba zibaki kama zilivyo
Yes, I will marry you.Will you marry me?
Duh bas yaishe ,ila kwangu hizi zinabaki kuwa porojo na uzushi wa wavulana wasiojiamini tu.nEnda ukampigie mpenzi wako goti mwambie will you marry me okay?
Kwema! Sijui pande hizoYes, I will marry you.
Aah! Kumbe umeuliza swali kwa mfano.
Nilifikiri unataka ndoa.
Kwema lakini mkuu?
Kabla hujauliza swali tujibu kwanza nini maana ya kupiga goti unapovalisha Pete mchumba wako?Kupiga goti Kuna fanya vipi mtu awe dhaifu?
Elezea maana yake, nikujibu Mimi ndio nimeleta mada ya kupiga goti ?Kabla hujauliza swali tujibu kwanza nini maana ya kupiga goti unapovalisha Pete mchumba wako?
Jibu langu lita base kutokea kwenye swaliUnauliza swali juu ya swali ? Pasipo kujibu swali ?
Jibu swali kwanza tuendelee
Inasababisha vipi mtu awe dhaifu ? Na kipi kina sababisha mtu awe strong , nimechanism Gani inatokea mtu kupiga goti ghafla awe dhaifu?Thank you brother never Do