🤣🤣Acha unaa
Huoni borit kwenye jicho lako ?
Naomba uniitie wakenya wenzako waje nipigane nao 😁Acha unaa
Huoni borit kwenye jicho lako ?
Sasa mpangilio huo uwepo kila mahali sio mnatengeneza kambingu kidogo ndani ya lijehanam likuubwaHivyo ndio miji inavyotakiwa kuwa sasa hata kufika eneo husika inakuwa ni rahisi, si waona kuna barabara safi kabisa hata wakitaka kukupatia huduma emergency ikitokea rahisi kukufikia!.
sasa wewe wataka tushangilie umasikini ndugu..?
Miji inatakiwa ipangiliwe halafu hao hata sio matajiri ni watu wa uchumi wa kati tu!.
Mabadiriko yanaenda taratibu..Sasa mpangilio huo uwepo kila mahali sio mnatengeneza kambingu kidogo ndani ya lijehanam likuubwa
Hao wa kwenye mabati wanajua ugali matumbo na gidheri peke yakeMi naona wote hao wako sawa kimaisha,tena unaweza kuta hao wa kwenye mabati ya kutu wapo vizur zaidi kiuchumi kuliko huko unapoona kwa matajiri huenda wengine wamepanga
Tofauti ninayoiona hapo ni mpangilio wa ujenzi tu