Hili ni sahihi kweli kwamba England haina katiba

SI KWELI.
Katiba wanayo, isipokuwa Katiba yao haijaandikwa (Unwritten Constitution),kama 'document' nayo ni aina ya Katiba; sisi ya kwetu Tanzania imeandikwa (Written Constitution). Katiba isiyoaandikwa ni kama vile mila, desturi na mambo yote yanayofanywa na kufuatwa na jamii fulani kwa kurithishana kizazi hata kizazi na hayapo katika maandishi. Ndivyo ilivyo hata katika mila za makabila yetu.
 
Hilo linawezekana kwenye jamii ya watu wastaarabu wanaoheshimu utu.
 
hii nimeifahamu leo aksante
 
Umejibu vema sn
 
Kuandikwa kama document au kutokuandikwa kama document maana yake nini? Naomba ufafanuzi zaidi
 
Mimi nilikuwa najua imeandikwa ila haiko katika single document.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…