comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
- Thread starter
- #41
The first difference between these two constitutional types is their source. A codified constitution is contained within one single document, whereas the source of a uncodified constitution is spread across statute, common law and constitutional convention.Kwanza kusema unwritted ni makosa. Uncodified ni sahihi, na kuwa uncodified haimanishi haijaandikwa bali documents mbalimbali hazijawekwa kwenye document moja.
Wanaosema haijaandikwa ni kwa sababubya kukosa maeneno sahihi kwenye kiswahili. Lakini kinachomaanishwa ni kuwa hakukuwahi kuwepo mchakato mmoja wa kuandaa katiba. Bali documents mbalimbali zilizoidhinishwa na kukubaliwa zimefanywa kuwa sehemu ya katiba.