Hili ni sahihi kweli kwamba England haina katiba

The first difference between these two constitutional types is their source. A codified constitution is contained within one single document, whereas the source of a uncodified constitution is spread across statute, common law and constitutional convention.
 
Simply their constitution is not codified in the same document
 
Very good!
 
Kuandikwa kama document au kutokuandikwa kama document maana yake nini? Naomba ufafanuzi zaidi
The first difference between these two constitutional types is their source. A codified constitution is contained within one single document, whereas the source of a uncodified constitution is spread across statute, common law and constitutional convention.

Kama mtu anaufahamu wa kiingereza na anataka kukukueleza kwa kiswahili badala ya kusema haikuandikwa walitakiwa kusema haikukusanywa pamoja kwenye nyaraka moja
 
Sahihi, unwritten constitution means uncodified ipo kwenye vipande vipande tu vya sheria (statute) na maamuzi ya mahakama

Sio kwamba hakuna maandishi kabisa.
The first difference between these two constitutional types is their source. A codified constitution is contained within one single document, whereas the source of a uncodified constitution is spread across statute, common law and constitutional convention.
 
mwenye ufahamu anisaidie?
Katiba ipo Iła haipo kwenye document moja.

Badala yake kuna sheria na taratibu nyingi ambazo kwa pamoja huunda katiba ya nchi.

Vitu muhimu Katika katiba Yao ni
Uwajibikaji na uwajibiswaji wa taasisi mbalimbali, serikali ya watu na uwakilishi wao, utawala wa sheria, kuheshimu haki za watu, na maadili na uwajibikaji Katika utumishi wa umma.
 
Naamini kabisa 90 % ya watanzania hawajawahi isoma katiba yetu.

Ndio maana hua nacheka nikiona watu wanavyopiga makelele kuhusu katiba mpya wakati hata hii iliyopo hawawezi kukueleza inavyo waathiri.
 
Sawa kabisa na over !,ukiona taifa Lina kabila Moja na Mfalme mmoja au Malkia mmoja katiba iliyoandikwa si muhimu,Angalia hata taratibu na desturi za kabila Moja Moja hapa Kwetuhazijaandikwa lakini hufuatwa Barabara na za ukoo mmoja mmoja hufuatwa kwa miaka mingi na bila kuandikwa. England ni taifa la kifalme inawezekana katiba haijaandikwa ,,wanaiheshimu na kuidumisha na wote.
 
Naamini kabisa 90 % ya watanzania hawajawahi isoma katiba yetu.
Sasa kama Rais (na viongozi wote walioapa kuilinda,kutenda kwa mujibu wa katiba) amesema katiba ni kijitabu tuu,kuna umuhimu gani wa hao asilimia 90 ya Watanzania kuisoma "hiko kijitabu"!!??
 
Ndio maana hua nacheka nikiona watu wanavyopiga makelele kuhusu katiba mpya wakati hata hii iliyopo hawawezi kukueleza inavyo waathiri.
Nani anayepiga kelele kuhusu katiba mpya hawezi kuelezea jinsi hii iliyopo inavyomuathiri!!??
 
Kama mtu anaufahamu wa kiingereza na anataka kukukueleza kwa kiswahili badala ya kusema haikuandikwa walitakiwa kusema haikukusanywa pamoja kwenye nyaraka moja
Waingereza wenyewe wanatambua chimbuko la hilo neno ‘unwritten constitution’ ni kupitia academic lectures (vitabu) vya msomi wa maswala ya katiba na siasa ‘Kenneth Wheare’ akijaribu kuelezea umuhimu wa kuwa na written constitution.

Otherwise kwa watu wanao fuatilia siasa wanaelewa ‘unwritten’ means ‘uncodified’.

Kwanini waingereza hawataki kuiweka katiba yao kwenye sheria mama moja (codified), hivyo ilivyo (uncodified) inafanya katiba yao kuwa flexible (rahisi kubadili mambo). Mfano raia kama akubaliani na jambo la haki zake kikatiba akienda mahakamani akashinda kesi, basi hayo maamuzi yanakuwa case law (precedence) automatically katiba inakuwa ishabadilishwa. Badala ya mlolongo mrefu wa bunge kufanya amendments baada ya kushinda kesi ya kikatiba.

Shida inakuja kwa sababu ipo kwenye vipande vipande, sio rahisi kuilewa hata kwa wanasiasa wao wasio wanasheria let alone raia wakawaida.
 
Mkuu tabia, desturi, mila na tamaduni hazimo na siyo sehemu ya sheria ikiwemo sheria mama katiba
 
Nani anayepiga kelele kuhusu katiba mpya hawezi kuelezea jinsi hii iliyopo inavyomuathiri!!??

Ok, Kwa uchache, unaweza kuelezea kuelezea utakachokipata Kwa katiba mpya na unachokikosa Kwa katiba iliyopo?

Kwa ufupi katiba iliyopo inatekelezwa ipasavyo?
 
Ok, Kwa uchache, unaweza kuelezea kuelezea utakachokipata Kwa katiba mpya na unachokikosa Kwa katiba iliyopo?

Kwa ufupi katiba iliyopo inatekelezwa ipasavyo?
Nimekuuliza kuwa ni nani anayetaka katiba mpya ambaye hajui hii iliyopo na athari zake!!
 
Uko sahihi mkuu, the right term to be used is “Uncodified Constitution” ikisemwa “Unwritten” wengi huelewa kuwa haiko documented at all.
 
Mm haijandikwa!? Sasa wanafanyaje rejea?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…