Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Habari wakuu.
Hiki kisa nimekikuta huko katika pita pita zangu mitandaoni.
HILI LINAITWA SHAMBULIO LA MOYO
Huyu ni mke wangu kabisa, nimefunga naye ndoa mwaka huu mwezi wa pili ila kufika mwezi wa 5 MUNGU alijaalia kupata ujauzito.
Mwanzoni huyu mwanamke ilikuwa Kila alhamis lazima aombe ruhusa ya kwenda kusalimia Kwa ndugu yoyote, na Mimi sikuwa na hiyana nilikuwa nampa ruhusa tu make ana ndugu wengi hapa mjini kwasabb kazaliwa kakulia humuhumu
Mwezi ulio pita Kuna rafiki yake aliniambia niwe makini na mke wangu ila hakunambia niwe naye makini kivipi, nilijaribu kumbana mwisho akaniambia tu nianze kumchunguza safari zake.
Tarehe 30 ya mwezi ulio pita aliomba ruhusa anaenda Kwa bibi yake ikabidi nimruhusu aende, baada ya kumchunguza safari hiyo nilipata majibu ya kujitosheleza kuwa alienda kushinda Kwa jamaa flani kule mbezi na nyumba mpaka chumba nikakiona, nilimweleza kaka yangu ikabidi anitulize kiume.
Jana tena akaniomba ruhusu anaenda Kwa dada yake, kama kawaida nikampa ruhusa ikabidi nimwite kaka yangu safari hii timfuatilie wote, huwezi amini Jana kaenda Kwa mwanaume mwingine tofauti na yule, na hapo ana ujauzito , Mimi mpaka nimechoka, hata kaka yangu mwenyewe haelewi.
Nimekwama kimawazo sijui nifanye nini kwasabb njia pekee niliyonayo ni kumuacha ila nawaza juu ya huyo mtoto wa tumboni.
Na nikisema niendelee kuwa nae tu kwa ajili ya huyu mtoto je kama mimba siyo yangu?
Akili imesimama sijui nifanyaje