Hili ni shambulio la moyo, ndoa imekuwa chungu

Hili ni shambulio la moyo, ndoa imekuwa chungu

Wanaume mke akiingiliwa nyuma utajua tu,unless hutumii dog style

Tuache ujinga,tena ukiona anakataa dog style ebu jiulize mara mbili

Coz ni style ambayo hata wao wanaipenda sana ingawa hawawezi kukwambia
 
Endelea nae tu mkuu si umempenda.

Mtu Mungu amekuonyesha mapema bado unataka tukushauri halafu baadae mrudiane utuzogoe,maamuzi unayo wewe
 
Watu 25 wapo hapa kusoma shambulio la moyo.
Kikubwa ni kuwa mvumilivu tu na aendelee kumpa ruhusa kwani ujauzito ndio unataka hivyo. Mpaka kuja hapa kusimulia hayo jamaa hana uamuzi wowote juu ya mkewe. Hawezi kumuacha. Hana uhakika wa maisha a kisha muacha
 
2B9X.gif
 
Watu 25 wapo hapa kusoma shambulio la moyo.
Kikubwa ni kuwa mvumilivu tu na aendelee kumpa ruhusa kwani ujauzito ndio unataka hivyo. Mpaka kuja hapa kusimulia hayo jamaa hana uamuzi wowote juu ya mkewe. Hawezi kumuacha. Hana uhakika wa maisha a kisha muacha
Yule ni malaya tena sio kidogo,,yan hapo ni kuchek afya,akiwa mzima amshukuru mungu hlf malaya arudi kwao
 
Kama huyo mbwa bado hujamuacha basi uchawi upo
 
Ila dunia inapoelekea inabidi niwachunguze wanangu vizuri isije nikawa nasaidia watu
Wanawake wana
Hii thread inanitia hasira mno! Mwendawazimu kama huyu angejichanganya kwangu angeimba hallelujah.
Wanawake wote wanapenda mboo ikeshe kiunoni shida wengine ni wanga pia,analiwa na unalishwa mauchawi ili ukomae nae,na hasa wale wa makazini wa kiume ukiondoka nae anatawala.
 
Ila dunia inapoelekea inabidi niwachunguze wanangu vizuri isije nikawa nasaidia watu
Hapana chief,,,usitafute ambayo yatakukera ,,kama hakujatokea lolote la mashaka wapende wanao sana,,muachie Mungu

Kuna speech moja ya Kabudi alitoa bungeni akasema "hata hawa watoto tulio nao hatujui kama sisi ndio biological fathers ila we don't care""
 
Habari wakuu.

Hiki kisa nimekikuta huko katika pita pita zangu mitandaoni.

HILI LINAITWA SHAMBULIO LA MOYO

Huyu ni mke wangu kabisa, nimefunga naye ndoa mwaka huu mwezi wa pili ila kufika mwezi wa 5 MUNGU alijaalia kupata ujauzito.

Mwanzoni huyu mwanamke ilikuwa Kila alhamis lazima aombe ruhusa ya kwenda kusalimia Kwa ndugu yoyote, na Mimi sikuwa na hiyana nilikuwa nampa ruhusa tu make ana ndugu wengi hapa mjini kwasabb kazaliwa kakulia humuhumu

Mwezi ulio pita Kuna rafiki yake aliniambia niwe makini na mke wangu ila hakunambia niwe naye makini kivipi, nilijaribu kumbana mwisho akaniambia tu nianze kumchunguza safari zake.

Tarehe 30 ya mwezi ulio pita aliomba ruhusa anaenda Kwa bibi yake ikabidi nimruhusu aende, baada ya kumchunguza safari hiyo nilipata majibu ya kujitosheleza kuwa alienda kushinda Kwa jamaa flani kule mbezi na nyumba mpaka chumba nikakiona, nilimweleza kaka yangu ikabidi anitulize kiume.

Jana tena akaniomba ruhusu anaenda Kwa dada yake, kama kawaida nikampa ruhusa ikabidi nimwite kaka yangu safari hii timfuatilie wote, huwezi amini Jana kaenda Kwa mwanaume mwingine tofauti na yule, na hapo ana ujauzito , Mimi mpaka nimechoka, hata kaka yangu mwenyewe haelewi.

Nimekwama kimawazo sijui nifanye nini kwasabb njia pekee niliyonayo ni kumuacha ila nawaza juu ya huyo mtoto wa tumboni.

Na nikisema niendelee kuwa nae tu kwa ajili ya huyu mtoto je kama mimba siyo yangu?

Akili imesimama sijui nifanyajeView attachment 3056993
Wale kataa ndoa point hapa tuchukue
 
Kwanini unaoa kabla ya wakati wako? Oa ukiwa akili imekomaa! Yani hili ni jambo la kutaka kushauriwa kweli??
 
Hii ya kusema, sijui mtoto atapatashida sijui atalelwa na baba wakambo. Ni dalili za udhaifu mkubwa ulio nao.
Sifa ya uanaume ni kufanya maamuzi magumu, achana na huyo Malaya.
 
Wewe ndio unatatizo. Kama umeshindwa kumfumania, unataka tukishauri vipi? na tunuhakika gani na hii stori. Hauna kithibitisho chochote.
 
Back
Top Bottom