Hili ni shambulio la moyo, ndoa imekuwa chungu

wakati unaoa ulitualikaaa iweje yamekukuta unataka tufe pamoja

Hapanaaaaa hapaanaaa yakohioo
 
Hahahaha pointi tatu kibindoni, na bado huu ni mwanzo tu, mpaka kufika desemba utasema tu !

 
Mkabidhi maisha yako kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Allah Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ampe qauli thabeet.

Nakuhakikishia kwa kufanya hivyo utapata amani ya kudumu
 
mkianza kukagua wake zenu huko nyu....mnaweza zalisha yatimaa wakutoshaaa hapaa waliona babazao hai achenituyaishee
 
mzee wa ruksa
 
Maisha ya siku hz ndiyo naona umuhimu wa sharia za kiislamu, ujinga na uhuni umevuka mipaka, zingekuwapo sharia zinatekelezwa uhuni wa aina hii usingefanyika kwa kiwango hiki.
 
Mimba zina mambo ya ajabu sana,mimba yake imependa kupiga story na washkaji wa kiume,atazaa mtoto wa kike
 
Mmh isiwe ni mimi nae anaaga ivo ivo ila si kila alhamis, hana mimba yeye,
 
Kama anakuaga siku nyingine badala ya alhamisi usiwe na wasiwasi, mpaka iwe alhamisi na awe na mimba ndio unaweza anza kumtilia mashaka kama ni malaya
Mmh isiwe ni mimi nae anaaga ivo ivo ila si kila alhamis, hana mimba yeye,
 
Piga chini na hiyo mimba inaweza isiwe yako. Huyo ni Malaya siyo mke,pole kijana wanawake ni tatizo.
 
Wanaume wanazid kupungua. Yesu tusaidie
 
Wanaume mke akiingiliwa nyuma utajua tu,unless hutumii dog style

Tuache ujinga,tena ukiona anakataa dog style ebu jiulize mara mbili

Coz ni style ambayo hata wao wanaipenda sana ingawa hawawezi kukwambia
Kwa wengine si rahisi kujua kutokana na maumbile kuwa makubwa inakuwa ngumu kuona hata awe anapiga hiyo dog style
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…