Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF in madaktari wengiiiiiiii!
Nasikia pia ukiipasua na kupaka kwenye kichwa cha dushelele nakisha kwenda kupiga jaramba ktk utupu wa mwanamke, hatakaa aku sahau. Nasikia inaongeza nyegu uspime.Mkuu pia mizizi yake ni dawa ya meno yaliyooza na kutoa harufu.
unachemsha na kusukutua supu yake, pia waweza kuitafuna.
Itakua ndulele...eti eeheehhh!! Nyanya chungu tena bibie? Mbona umeingia chaka?
Mkuu Mentor Ndio maana nikauliza jina hizo zinaitwaje? sikusema kama zinaliwa nimeuliza zinaitwaje hizo? Kwahiyo sio nyanya chungu? ni Ndulele ? au nyanya chungu Ngogwe?Ndo nashangaa hapa dr. MziziMkavu anataka kuwaingiza watu chaka!
Ndulele =/= nyanya chungu (ngogwe) na hizo kwenye picha yake ni NDULELE.
HAZILIWI.
Kaka mkubwa hiyo ya funza umenikumbusha mbali sana, wakati huo twasoma ukiingiwa na funza lazima ukamatwe na kutafutiwa hizo ndulele.
Halafu pia kulikuwa na ugonjwa fulani sisi tulikuwa twauita "matuse"...mashavu sehemu za jaws huvimba na kuuma sana. Basi hizo ndulele zilikuwa zachomwa kama mshikaki halafu unakandwa nazo.
Baada ya siku kadhaa uvimbe hupotea na maisha kusonga.
NA HIZI SIO NYANYA CHUNGU JAMANI?
![]()
![]()
![]()
![]()
HIZO NI NDULELE si nyanya chungu mkuu kumbe umeona eeeh!!!!Ndo nashangaa hapa dr. MziziMkavu anataka kuwaingiza watu chaka!
Ndulele =/= nyanya chungu (ngogwe) na hizo kwenye picha yake ni NDULELE.
HAZILIWI.
Huo ugonjwa unaitwa mumps. Ni viral, kwa hiyo unaisha wenyewe. Kukandwa kulisaidia kushusha homa tu nadhani
Leo wapendwa nataka niwafundishe kuhusu nyanya chungu, ndio enhe hizohizo naamini wengi kama sio wote mnazijuwa zipo za iana mbili zile chungu kabisa na za baridi (ambazo sio chungu) najuwa wengi sana hawapendi kula hizi nyanya chungu kwasababu hawazijui faida zake leo nitakwambia nisikilize kwa makini mwanamke na wewe mwanaume ukalibebe umpelekee mkeo anufaike nalo.
Nyanya chungu katika mwili wa mwanamke zinasaidia katika kuongeza maji ya ukeni enhe ndio utakuta mwanamke analalamika mimi mkavu mume wangu anachukuwa muda sana kuniandaa mwengine anasema nachubuka sina majimaji ya ukeni sasa bibie dawa ndio hiyo usikose nyanya chungu nyumbani kwako kama huziwezi chungu waachie wahaya wewe nunua zile za baridi hata kama huzipendi bibie ndio uzile mpaka uzipende, sio mbaya ukiungia kama mbili kwa kuanzia baadaye utaweza kula zidi..mimi nyumbani kwangu mwiko nyanya chungu kukosekana kwenye jokofu..haihusu bibi
Unaweza kuziungia kwenye vitu tofauti na zikanoga ngoja nikwambie jinsi mimi ninavyozitumia natia kwenye mlenda, kwenye dagaa, kwenye mboga ya nyama, kuku, natia mpaka kwenye pilau yani kila ninachopika nyumbani kwangu lazima ziwemo wanawake wote nyumbani kwangu nimewazoesha kuzila ila wanaume hawali kwanza kwasababu hawazipendi na pili kwavile haziwahusu labda kurekebisha afya tu siwalazimishi.
Umenisoma chukuwa hilo kama ulikuwa haujui..Cc.@georgeallen Mkuu Boflo
Economic Botany........ wewe mkaali, hebu nipe contents, botany hadi binadamu na unyumba?Very true! Niliisoma kwenye course ya Economic Botany. Aina hizi za mboga zinapaswa zitumike katika familia zetu ili kulinda ''Muungano'' wa baba, mama & watoto.(i.e usije ukatokea utengano usio na lazima kwa wanandoa)
![]()
AU TUNGULE? KWA KIUNGUJA ZINAITWA TUNGUJA PORI KWA KI BARA ZINAITWAJE YAKHE?
Mkuu Mentor Ndio maana nikauliza jina hizo zinaitwaje? sikusema kama zinaliwa nimeuliza zinaitwaje hizo? Kwahiyo sio nyanya chungu? ni Ndulele ? au nyanya chungu Ngogwe?
ila kuna tofauti kati ya nyanya chungu na ndulele,ndulele hailiwi halafu mziki wake yale maji yaguse macho,ila nyanya chungu(ngogwe) inatumika kama viungo vya msosinDulele...au nyanya chungu!
Economic Botany........ wewe mkaali, hebu nipe contents, botany hadi binadamu na unyumba?