Hili ni tunda au mboga au kitu gani jamani inaitwaje kwa kiswahili?

Mkuu pia mizizi yake ni dawa ya meno yaliyooza na kutoa harufu.

unachemsha na kusukutua supu yake, pia waweza kuitafuna.
Nasikia pia ukiipasua na kupaka kwenye kichwa cha dushelele nakisha kwenda kupiga jaramba ktk utupu wa mwanamke, hatakaa aku sahau. Nasikia inaongeza nyegu uspime.
 
Ndo nashangaa hapa dr. MziziMkavu anataka kuwaingiza watu chaka!

Ndulele =/= nyanya chungu (ngogwe) na hizo kwenye picha yake ni NDULELE.

HAZILIWI.
Mkuu Mentor Ndio maana nikauliza jina hizo zinaitwaje? sikusema kama zinaliwa nimeuliza zinaitwaje hizo? Kwahiyo sio nyanya chungu? ni Ndulele ? au nyanya chungu Ngogwe?
 
Last edited by a moderator:
Huo ugonjwa unaitwa mumps. Ni viral, kwa hiyo unaisha wenyewe. Kukandwa kulisaidia kushusha homa tu nadhani
 
Reactions: Paw
Best ndio huo huo na nimetafuta neno lenye tafsiri fasaha kwa Kiswahili, huitwa "machubwichubwi"

Huo ugonjwa unaitwa mumps. Ni viral, kwa hiyo unaisha wenyewe. Kukandwa kulisaidia kushusha homa tu nadhani
 
Very true! Niliisoma kwenye course ya Economic Botany. Aina hizi za mboga zinapaswa zitumike katika familia zetu ili kulinda ''Muungano'' wa baba, mama & watoto.(i.e usije ukatokea utengano usio na lazima kwa wanandoa)
 
Tunaita sodum apple au kwa jina la kisayansi ni solenum incanum ni tunda lisilo liwa na wanyama wengi ingawa kuna wengine wanakula kama vile sungura na Tandara.
 
Very true! Niliisoma kwenye course ya Economic Botany. Aina hizi za mboga zinapaswa zitumike katika familia zetu ili kulinda ''Muungano'' wa baba, mama & watoto.(i.e usije ukatokea utengano usio na lazima kwa wanandoa)
Economic Botany........ wewe mkaali, hebu nipe contents, botany hadi binadamu na unyumba?
 
Mkuu Mentor Ndio maana nikauliza jina hizo zinaitwaje? sikusema kama zinaliwa nimeuliza zinaitwaje hizo? Kwahiyo sio nyanya chungu? ni Ndulele ? au nyanya chungu Ngogwe?

Zinaitwa Ndulele/ Nyanyapori. Scie/Name:Solanum incunum.
Uses: cure Stomach pain, spleen problems( esp. for children)
 
Economic Botany........ wewe mkaali, hebu nipe contents, botany hadi binadamu na unyumba?

Teh..teh..teh.. Si unajua tena nilikuwa nasherehesha hoja. maana nowdays kesi nyingi za ndoa zinasababishwa na vitu vidogo kama hivi ambavyo vingeweza kuepukika kwa kula tunda tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…