Tunaita sodum apple au kwa jina la kisayansi ni solenum incanum ni tunda lisilo liwa na wanyama wengi ingawa kuna wengine wanakula kama vile sungura na Tandara.
ndula au ndulele.
sio tunda, maji yake yanawasha vibaya mno.
Ndulele...huwa haziliwi ila maji yake yanatumika kurefusha mashavu ya uke na kicmi! Unazibabua kidogo kwenye moto unakamua yale maji yake unapaka kwenye sehemu husika unavuta kidogo x2. 🙂
Mimi nadhani kuna tofauti kati ya ndulele na nyanya chungu (ngogwe). Ndulele haziliwi na ngogwe zinaliwa.
Itakua ndulele...eti eeh
Kaka mkubwa hiyo ya funza umenikumbusha mbali sana, wakati huo twasoma ukiingiwa na funza lazima ukamatwe na kutafutiwa hizo ndulele.
Halafu pia kulikuwa na ugonjwa fulani sisi tulikuwa twauita "matuse"...mashavu sehemu za jaws huvimba na kuuma sana. Basi hizo ndulele zilikuwa zachomwa kama mshikaki halafu unakandwa nazo.
Baada ya siku kadhaa uvimbe hupotea na maisha kusonga.
Nasikia pia ukiipasua na kupaka kwenye kichwa cha dushelele nakisha kwenda kupiga jaramba ktk utupu wa mwanamke, hatakaa aku sahau. Nasikia inaongeza nyegu uspime.
Hahahahahah....hamna bwana nlikua nachezea mdako!Ndio hivyo bibie...unazikumbuka enzi zako kwenya kale ka mchezo ka baba na mama?
Yap yap...zile zitakula ndulele banaila kuna tofauti kati ya nyanya chungu na ndulele,ndulele hailiwi halafu mziki wake yale maji yaguse macho,ila nyanya chungu(ngogwe) inatumika kama viungo vya msosi
Zina jina lake la asili ila kwa sisi tuliokulia mjini tumekuwa tunaziita NDULELE,
Matumizi yake na ikiwemo mizizi yake ambapo hutumika kwa mwanamke ambaye anaenda hedhi iliyopitiliza. Anapaswa kuchemsha mizizi yake na kunywa kutwa mara mbili kwa kipimo cha bilauri [dawa za asili huwa hazina masharti ya vipimo].
Tunda zake zinatumika sana kutibu funza wanaoingia vidoleni, unachopaswa kufanya ni kuitoboa ndulele na kuvisha kwenye kidole chenye mdudu kwa muda unaozidi dakika 10. Mdudu atakufa na kukauka kabisa.
Naamini hii ni tofauti sana na nyanya chungu. Hii ni chachu na ina kemikali nyingi sana.
Hahahahahah....hamna bwana nlikua nachezea mdako!