Mmmh akili za saa ngapi hizi?Maana ukija hapa Mwenge ninaposhinda akina dada wanaokuja kununua nguo/viwalo ama unaweza sema, yaani wameonekana kwa idadi ya kutosha kabisa wakiwa wamekata nywele kwa ule mtindo pendwa wa denge/kiduku/panki kama wenyewe tusemavyo.
Hii ni ishara kwamba wanaume wameacha kutoa fedha za kusukia.
I'm offView attachment 1100566
Kule Japan Kumamoto jina la mtu kwetu sie itakuwaje? Nao wasitumie hilo jina kwasababu ina maana tofauti na Tanzania.Kabla hujasifia hiyo staili ya kunyoa na kueka kamstari hivo waulize wamarekani maana yake nini.
Mwanamke kule akinyoa hivo kule ni utambulisho kwamba ye ni mdau wa mapenzi ya jinsia moja(kusagana)
Na kuona anamaanisha hilo kamwe hutomwona akisuka wala kubandika wigi
Kule Japan Kumamoto jina la mtu kwetu sie itakuwaje? Nao wasitumie hilo jina kwasababu ina maana tofauti na Tanzania.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Naconnect dots..Kabla hujasifia hiyo staili ya kunyoa na kueka kamstari hivo waulize wamarekani maana yake nini.
Mwanamke kule akinyoa hivo kule ni utambulisho kwamba ye ni mdau wa mapenzi ya jinsia moja(kusagana)
Na kuona anamaanisha hilo kamwe hutomwona akisuka wala kubandika wigi
Hapana
Ni kwasababu ya Wema Sepetu...kuna wadada role model wao huyo so wanajitahidi kuwa kama yeye katika fashion
Halafu inatakiwa ifike muda kichwa kipumzike
Nimejikuta nacheka peke yangu mbele za watu we jamaa umetishaDemu akiwa nankichwa kizuri akinyoa anapendeza sana..
Tatizo wengine wananyoa lakin vichwa vyao kama box la condom