Hili punguzo la wafanyakazi wa idara ya ulinzi kampuni hii linakubalika ?

Hili punguzo la wafanyakazi wa idara ya ulinzi kampuni hii linakubalika ?

Haki za wafanyakazi zimezingatiwa, hakuna tatizo. Kampuni inafanya biashara, lazima iendeshwe kibiashara.
Mkataba unasema sehemu ya Termination of contract.
" In the course of the contract period,this contract may be terminated by either party giving 30 (Thirty) days written notice.
 
Kama huna mkataba wa kazi unaondoka kama ulivyokuja, yani ukitoka kazini wrwe ni mzururaji, ukiwa kazini mfanyakazi.
Mkataba upo na sehemu ya Termination of contract inasema hivi
" In the course of the contract period,this contract may be terminated by either party giving 30 (Thirty) days written notice."
Ushauri wa hatua za kufata
 
navyojua mm lazima mpewe notice ya siku 30 .....
Mkataba unasema
Sehemu Termination of contract
" In the course of the contract period,this contract may be terminated by either party giving 30 (Thirty) days written notice".
 
Mkataba unasema
" In the course of the contract period,this contract may be terminated by either party giving 30 (Thirty) days written notice.
Kwa sababu mmeshtukizwa ghafla, mnaweza kutembelea ofisi yoyote ya wakili mlipie gharama ndogo ya kiushauri katika kupambania stahiki zenu.​
 
Mkataba upo na sehemu ya Termination of contract inasema hivi
" In the course of the contract period,this contract may be terminated by either party giving 30 (Thirty) days written notice."
Ushauri wa hatua za kufata
Watafute wenye taaluma ya sheria wakusaidie, wao ndio huandaa hiyo mikataba wanaweza kukusaidia njia za kutokea, kupunguza athari.
 
Kampuni kufanya retrechment cyo jambo geni hata pale Bulyanhulu Gold Mine mwaka 2017 kilifanyika kitu kama hicho lkn issue iko kwenye Je kampuni inaachanaje na Mwajiriwa wake!!!!!.Barrick by then ACACIA waliachana vizuri mno na waliokuwa wafanyakazi wake kipindi cha zahama yao na RAIS WA KIPINDI HICHO, kila mtu alipewa kilichomstahili na kuweza kuendelea na maisha mengine nje ya ACACIA.Chama cha wafanyakazi pamoja Serikali wakae na kampuni waangali namna bora ya mwekezaji kuachana na wafanyakazi wake.
Kwenye biashara kuna mengi, kuna kuona wafanyakazi wako wamezeeka au wamechoka kiasi kwamba hawawezi tena kumudu majukumu yao, hapo retrechment haikwepeki.
Nilikuwepo kipindi hicho wakatinipo 3980 workshop
 
Back
Top Bottom