Hili sio Bunge tena bali ni genge la watafuna kodi za walalahoi wanaosifia Royal tour isiyokuwa na tija

Marketing inafanyika sana. Ndio maana utalii upo vizuri. Marketing hata kwa kutumia Websites na aina nyingine inatosha.

Na hiyo Royal tour pia ni aina ya marketing. Marketing inatosha ukishafikia capacity. Kama bado watalii hawajafikia capacity, marketing za aina zote ziendelee.
 
Anasimama mbunge bila hata aibu anasema sasa Mahotel ya Dar es salaam yamejaa watalii sababu ya Royal tour. Ni aibu kabisa kuwa na mbnge kama huyu naona aibu hata kumtaja.

Mwingine bila hata aibu anasema Royal tour imeibua fursa mpya kwa wananchi wa Tanzania kuanzia kusini mpaka Kaskazini. Ajira za kila aina zimeanza kupatikana baada ya royal tour kuingia nchini.

Hawa ndio wabunge wanaolipwa kwa kodi za walalahoi
Naona mnahangaika kweli na Royal tour
 
Na hiyo Royal tour pia ni aina ya marketing. Marketing inatosha ukishafikia capacity. Kama bado watalii hawajafikia capacity, marketing za aina zote ziendelee.
Marketing lazima ifanyike kulingana na mahitaji na mazingira . Chukulia nchi kama South Afrika au Misri wako vizuri kiutalii bila hata Royal tour.
 
Marketing inafanyika sana. Ndio maana utalii upo vizuri. Marketing hata kwa kutumia Websites na aina nyingine inatosha.
Kwa utafiti upi wewe uliofanya wewe mboyoyo ukaona hizo websites zinatosha? Wewe mshamba usiye na exposure wala shule huwezi kuelewa mambo yaliyokuzidi kimo cha uelewa
 
Anasimama mbunge bila hata aibu anasema sasa Mahotel ya Dar es salaam yamejaa watalii sababu ya Royal tour. Ni aibu kabisa kuwa na mbnge kama huyu naona aibu hata kumtaja.

Mwingine bila hata aibu anasema Royal tour imeibua fursa mpya kwa wananchi wa Tanzania kuanzia kusini mpaka Kaskazini. Ajira za kila aina zimeanza kupatikana baada ya royal tour kuingia nchini.

Hawa ndio wabunge wanaolipwa kwa kodi za walalahoi
Yani hata uyo wanae msifia anawashangaa, njaa mbaya sana. Hao jamaa wanasifiaga vitu ambavyo hata baadae mwenyeqe akijiangalia kwenye tv anaona aibu.

Baada ya mwezi ukimuambia sifiatena atasema alinukuliwa vibaya.
 
Lakini kuna ukweli kwamba huu ndiyo msimu wa utalii wa wazungu (summer holiday). Miezi hii na ile miezi ya December wazungu wanafanya sana utalii.
Watanzania wataenda kutalii lini huko ughaibuni tukajaze hoteli za wenzetu?Ukizoea kula vya wengine ni vema vyako navyo viliwe.Donor country ambayo watu wake hawawezi kwenda kutalii hata kijiji cha Jirani!
Tumeshawasahau mabeberu ya JPM?
 
Sahivi kila kitu royal tour hata pesa nayotumia nyumbani kwangu nimerushiwa na huyoroyal tour, tena katuma na ya kutolea. Hatari sana hii
 
Tafuta kazi ufanye, ni kweli unakera sana na ma thread yasiyo na kichwa wala miguu kuponda kila kitu cha Samia.

Unalipwa nini kwani kwa kujitoa ufahamu kiasi hiki?

Na ninakukanya jibu kwa staha, ukifungulia matusi nitakujibu kwa matusi.
Kinachoongelewa hapa ni bunge sio serikali!
 
Yani hata uyo wanae msifia anawashangaa, njaa mbaya sana. Hao jamaa wanasifiaga vitu ambavyo hata baadae mwenyeqe akijiangalia kwenye tv anaona aibu.

Baada ya mwezi ukimuambia sifiatena atasema alinukuliwa vibaya.
Kama Bunge linaendekeza njaa basi hii ni shida.
 
Back
Top Bottom