Hili suala la Bongo Zozo kujipenyeza kila mahali hadi chumbani kwa baba limekaaje?

Hili suala la Bongo Zozo kujipenyeza kila mahali hadi chumbani kwa baba limekaaje?

Anafanya kile kinampa furaha, wabongo mnapenda sosho midia, na yeye kawateka huko mpaka viongozi wamejaa.

Jamaa anapenda kupewa attention na anagharamia kuipata, si ajabu fuba anazo maana hata hapa unaambiwa kashakaa zaidi ya 10yrs anafanya ishu zake iringa huko.

Na kaoa mbongo ni shemeji yenu huyo.
 
watanzania wanajikutaga wajuaji kila kitu, kwamba sisi tunajua tishia la usalama kuliko wahusika wenyewe

kuna tofaut kubwa kati ya usalama wa taifa tunaojifanya tunao watanzania wa vijiweni na umbea
 
Back
Top Bottom