Anafanya kile kinampa furaha, wabongo mnapenda sosho midia, na yeye kawateka huko mpaka viongozi wamejaa.
Jamaa anapenda kupewa attention na anagharamia kuipata, si ajabu fuba anazo maana hata hapa unaambiwa kashakaa zaidi ya 10yrs anafanya ishu zake iringa huko.
Na kaoa mbongo ni shemeji yenu huyo.