Hili suala la malezi ya hivi limekaaje?

Hili suala la malezi ya hivi limekaaje?

Habari za muda huu wanajukwaa?

Ipo hivi niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mshichana mmoja anayetokea ukanda wa kaskazini, msichana huyo pia alikuwa akisoma chuo kimojawapo huko Arusha.

Sasa kilichokuwa kikinishangaza licha ya tabia yake kuwa njema na mcha Mungu mzuri lakini bado wazazi wake hasa mama yake ameendelea kumlea kama mtoto mdogo yani bado anamfuatilia sanaa kana kwamba ni binti bado hajavunja ungo.

Jambo hili lilinifanya kujiuliza maswali mengi kwa mfano, je huyu binti anayetarajiwa kuwa mke wa mtu siku chache za usoni anafuatiliwa hivi na mzazi wake ina leta picha gani kwenye jamii?

Jambo jingine mama yake ni mkali sanaa kiasi kwamba akiona tuu kijana yeyote anajisogeza kuongea na mwanaye anamkaripia hadharani sasa najiuliza huyo mama hataki mwanae atongozwe ataolewa vipi? Hata mwanaye anamuogopa sanaa.. Mlio na watoto wa kike hebu mje mtoe uzoefu wenu.
Kukosa huko kufuatiliwa na kuchungwa usingemkuta na hizo tabia njema.

Ulezi wa mtoto ni swala endelevu mpaka pale atakapoondoka kwenye himaya yako kama mzazi.
 
Umezoea kuku wa kienyeji waliokosa malezi na uangalizi wa wa wazazi
 
Kwanini ung'ang'anie binti wa watu?
Unataka kumpangia mama yake kuhusu binti yake au u seriously??

Piga nyeto au zungushe dushe zamisha kwenye tigo yako.
Mambo yaishe.!!
😔, mkuu mbona umekuja na jazba badala ya kuja kujadili? Toa mtazamo wako, kama hauna cha kusema ni heri ukae kimya.
 
Duuu, kwangu mimi nilitafsiri kama kumnyima binti yake nafasi ya kufanya maamuzi kwa kujiamini yeye mwenyewe pasina uwepo wa mama. Yaani niliona kunapoelekea mama ataenda kumchagulia nwanae kijana wa kumuoa!😌
Hapana, kwani huyo mama anashinda na mwanae muda wote? huyo binti bado yuko chini yake hana maamuzi ya kujiamulia
 
😔, mkuu mbona umekuja na jazba badala ya kuja kujadili? Toa mtazamo wako, kama hauna cha kusema ni heri ukae kimya.
Hakuna jazba
Hakuna cha kujadili hapa
Unataka kuwapangia watu life style ya kuishi na familia hasa mabinti zao.
Kwa kigezo tu wewe unataka kuoa au kuwa na Upwiru??
 
Kukosa huko kufuatiliwa na kuchungwa usingemkuta na hizo tabia njema.

Ulezi wa mtoto ni swala endelevu mpaka pale atakapoondoka kwenye himaya yako kama mzazi.
Nalielewa hili vizuri kabisa mkuu, pengine haujanipata vizuri nini nimekimaanisha. Nilichomaanisha ni ule uangalizi uliopitiliza yani mama mtu anafuatilia hadi anavyokuwa anaongea na simu. Yule binti alinieleza mama akiwepo hawezi kuongea na simu. Sasa kwa umri wake hiyo imekaaje?
 
Hakuna jazba
Hakuna cha kujadili hapa
Unataka kuwapangia watu life style ya kuishi na familia hasa mabinti zao.
Kwa kigezo tu wewe unataka kuoa au kuwa na Upwiru??
😔, nasikitika umekuwa na jazba kana kwamba nimekuja kushtaki ilihali nimekuja kuulizia na kupata uzoefu kwa wenye watoto wa kike hasa waliofikia age kama hiyo.
 
Mpaka yule msichana alikubali kuingia kwenye mahusiano na mimi na pia nilimweleza malengo yangu juu yake na yeye alinielewa na kunikubalia hilo bila shaka linaonyesha yeye alishajiandaa kuwa mke. Changamoto tuu ni treatment ya mama yake anamfuatilia msichana mkubwa wa miaka 24+ kama mtoto wa darasa la nne. Yani kiufupi haruhusu hata nusu ya utashi wa mwanae utumike!!
Peleka posa acha uharibifu
 
Hakuna jazba
Hakuna cha kujadili hapa
Unataka kuwapangia watu life style ya kuishi na familia hasa mabinti zao.
Kwa kigezo tu wewe unataka kuoa au kuwa na Upwiru??
😔, nasikitika umekuwa na jazba kana kwamba nimekuja kushtaki ilihali nimekuja kuulizia na kupata uzoefu kwa wenye watoto wa kike hasa waliofikia age kama hiyo
zaa wakwako mzee muache apigwe miti na walala hoi na aliyekyambia first priority ya kila binti kuolewa nani
😐, umesoma uzi vizuri? Rudia tena kusoma ndiyo u-comment
 
😔, nasikitika umekuwa na jazba kana kwamba nimekuja kushtaki ilihali nimekuja kuulizia na kupata uzoefu kwa wenye watoto wa kike hasa waliofikia age kama hiyo

😐, umesoma uzi vizuri? Rudia tena kusoma ndiyo u-comment
Ukizaa WA kwako utamruhusu freely akiwa na miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom