Hili suala la malezi ya hivi limekaaje?

Kukosa huko kufuatiliwa na kuchungwa usingemkuta na hizo tabia njema.

Ulezi wa mtoto ni swala endelevu mpaka pale atakapoondoka kwenye himaya yako kama mzazi.
 
Umezoea kuku wa kienyeji waliokosa malezi na uangalizi wa wa wazazi
 
Kwanini ung'ang'anie binti wa watu?
Unataka kumpangia mama yake kuhusu binti yake au u seriously??

Piga nyeto au zungushe dushe zamisha kwenye tigo yako.
Mambo yaishe.!!
πŸ˜”, mkuu mbona umekuja na jazba badala ya kuja kujadili? Toa mtazamo wako, kama hauna cha kusema ni heri ukae kimya.
 
Duuu, kwangu mimi nilitafsiri kama kumnyima binti yake nafasi ya kufanya maamuzi kwa kujiamini yeye mwenyewe pasina uwepo wa mama. Yaani niliona kunapoelekea mama ataenda kumchagulia nwanae kijana wa kumuoa!😌
Hapana, kwani huyo mama anashinda na mwanae muda wote? huyo binti bado yuko chini yake hana maamuzi ya kujiamulia
 
πŸ˜”, mkuu mbona umekuja na jazba badala ya kuja kujadili? Toa mtazamo wako, kama hauna cha kusema ni heri ukae kimya.
Hakuna jazba
Hakuna cha kujadili hapa
Unataka kuwapangia watu life style ya kuishi na familia hasa mabinti zao.
Kwa kigezo tu wewe unataka kuoa au kuwa na Upwiru??
 
Kukosa huko kufuatiliwa na kuchungwa usingemkuta na hizo tabia njema.

Ulezi wa mtoto ni swala endelevu mpaka pale atakapoondoka kwenye himaya yako kama mzazi.
Nalielewa hili vizuri kabisa mkuu, pengine haujanipata vizuri nini nimekimaanisha. Nilichomaanisha ni ule uangalizi uliopitiliza yani mama mtu anafuatilia hadi anavyokuwa anaongea na simu. Yule binti alinieleza mama akiwepo hawezi kuongea na simu. Sasa kwa umri wake hiyo imekaaje?
 
Hakuna jazba
Hakuna cha kujadili hapa
Unataka kuwapangia watu life style ya kuishi na familia hasa mabinti zao.
Kwa kigezo tu wewe unataka kuoa au kuwa na Upwiru??
πŸ˜”, nasikitika umekuwa na jazba kana kwamba nimekuja kushtaki ilihali nimekuja kuulizia na kupata uzoefu kwa wenye watoto wa kike hasa waliofikia age kama hiyo.
 
Peleka posa acha uharibifu
 
Hakuna jazba
Hakuna cha kujadili hapa
Unataka kuwapangia watu life style ya kuishi na familia hasa mabinti zao.
Kwa kigezo tu wewe unataka kuoa au kuwa na Upwiru??
πŸ˜”, nasikitika umekuwa na jazba kana kwamba nimekuja kushtaki ilihali nimekuja kuulizia na kupata uzoefu kwa wenye watoto wa kike hasa waliofikia age kama hiyo
zaa wakwako mzee muache apigwe miti na walala hoi na aliyekyambia first priority ya kila binti kuolewa nani
😐, umesoma uzi vizuri? Rudia tena kusoma ndiyo u-comment
 
πŸ˜”, nasikitika umekuwa na jazba kana kwamba nimekuja kushtaki ilihali nimekuja kuulizia na kupata uzoefu kwa wenye watoto wa kike hasa waliofikia age kama hiyo

😐, umesoma uzi vizuri? Rudia tena kusoma ndiyo u-comment
Ukizaa WA kwako utamruhusu freely akiwa na miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…