Hili suala la malezi ya hivi limekaaje?

Mama wala hana shida, ila mwenye shida ni ww ambae ukiamka asubuhi, cha kwanza ni kuingiza mkono wako kwenye boksa badala ya kichwani, kitu ambacho imekupelekea uamini kuwa mtoto wa kike ili aolewe lazima atongozwe, kumbe wala haiko hvo.
 
Soma huu uzi vizuri kisha u-comment, jua nilihitaji nini kutoka kwa hadhira!
Kila mtu anakushangaa ulivyo baradhuli, mtu anamtunza mwanae kwa mbinu zote wewe uko hapa kulalamika una akili kweli wewe, una nia njema na binti ungefika kwa wazazi wake kuomba hiari ya kukupa binti yao sio kulialia maza apunguze kumchunga ili wewe hayawani ufanye ufedhuli wako,

Halafu shuleni hukunipeleka wewe usinipangie cha kucomment
 
Mama wala hana shida, ila mwenye shida ni ww ambae ukiamka asubuhi, cha kwanza ni kuingiza mkono wako kwenye boksa badala ya kichwani, kitu ambacho imekupelekea uamini kuwa mtoto wa kike ili aolewe lazima atongozwe, kumbe wala haiko hvo.
Tiririka sasa mkuu!!
 
Najua sipo hapa kushindana kutukana, lakini nakushauri kama umekosa cha ku-comment ni vizuri ukapita kimya kimya. Nimerudia mara kadha kukuambia soma nilichoandika ukielewa ndiyo u-comment lakini badala yake unazidi kutukana.
 
Duuu, kwangu mimi nilitafsiri kama kumnyima binti yake nafasi ya kufanya maamuzi kwa kujiamini yeye mwenyewe pasina uwepo wa mama. Yaani niliona kunapoelekea mama ataenda kumchagulia nwanae kijana wa kumuoa!😌
Kwani akimchagulia kijana wa kumuoa kuna shida si binti yake?? Huyo dada yupo chini ya wazazi wake acha wamachunge wanavyotaka wao usiwapangie. Kama una nia nae ya dhati na yeye amekukubali fwata taratibu nenda kwao oa weka ndani baada ya hapo hapo mwachie uhuru wote unaotaka wewe.
 
Kuchaguliwa mtu wa kumuoa au kuolewa naye hilo naweza kusema halina shida. Ila hoja yangu ipo hapa. Ninachoamini mtu akishakuwa admitted kama mwanafunzi wa Chuo , tayari huyu mtu anahesabika ni mtu mzima anayeweza kufanya mambo yake kwa kutumia utashi wake yeye mwenyewe. Kwa mantiki hiyo, kuna kuwa hakuna haja ya kumuwinda winda kama mtoto wa primary school ambaye kwa sehemu kubwa bado anahitaji uangalizi mkubwa sana kutoka kwa wazazi na waalimu wake.
 
Mkuu nikwambie kitu, mtoto wa kike hata awe na miaka 40 as long as hajaolewa wala kuondoka nyumbani anatakiwa uangalizi wa wazazi wamchunge hadi atakapoolewa. Huyo mama yupo sahihi sana.

Watoto wanaharibika mno hasa wakifika chuo. Ni kweli ni mkubwa 24 yrs ana utashi wa kuelewa mambo ila bado hana uatshi wa " kuamua" anachotaka bado yupo chini ya wazazi wake.
MToto kwa wazazi hakui,
 
Mkuu wewe ndo umeelewa ni nini nilitamani kusikia , nashukuru sanaa kwa ufafanuzi wako.
 
We fala kweli, mcha mungu ana boifrendi? Maandazi kabisa wewe
 
We fala kweli, mcha mungu ana boifrendi? Maandazi kabisa wewe
Mkuu umesoma uzi vizuri na kuuelewa? Nakushsuri usome kwanza uzi uelewe nini kinahitajika ndipo utoe maoni. Sidhani kama ulichoandika ndicho kinachohitajika kwenye huu uzi kwa sasa?πŸ€·β€β™‚οΈ
 
Aruhusu utashi wa mtoto utumike Ili umuharibu sio..

Wewe sio muoaji waoaji wanaendaga na washenga moja kwa moja kwenye familia husika ni malaya kama malaya wengine.
 
Kwahiyo hapo unachotaka ni mama apunguze kumfuatilia binti yake ili baharia ugegede kwa kujinafasi

Kukuthibitishia kwamba huyo binti bado anahitaji uangalizi wa wazazi wake ni kwamba, iwapo ataachiwa huru atafanya maamuzi mabaya ya kukuachia uchi wake uuchezee, kizazi chake ukichezee kwa abortions na morning after pills mwisho wa siku umkimbie ukiwa tayari ushamharibia maisha.

Kama umempenda na unataka kumuweka ndani, nenda kwao peleka posa.
 
Aruhusu utashi wa mtoto utumike Ili umuharibu sio..

Wewe sio muoaji waoaji wanaendaga na washenga moja kwa moja kwenye familia husika ni malaya kama malaya wengine.
Najua shida ni kwamba haujasoma ukaelewa, umeona urukie hoja. Si kwamba nilikuwa na nia ya kumchezea. Nilikuwa na nia ya kumuoa na mipango tulikuwa tunaipanga vizuri. Ila niliingiwa na wasiwasi kuona vile mtu anafuatiliwa kana kwamba ni mtoto mdogo. Usome kwanza hoja ndipo uchangie mkuu.
 
Haujaelewa nini nimemaanisha au pengine umeusoma uzi kwa haraka haraka, nakushauri urudie kusoma kwa taratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…