Hili suala la Tuisila Kisinda na Clatous Chama linanishangaza

Kwa hiyo assist za Chama zimefanywa na TFF? Kuna mada humu inashauri kuacha utani na Yanga. Mada ina hoja maana hamtumii tena akilo
Assists nyingi anazofanya chama huwa ni offside goals, na referee kwa hisani ya TFF anawapa hayo magoli
Note:Oil and water will be separated
 
Baadhi ya mashabiki wa mbumbumbu fc hawajui kwamba Mrisho Ngasa alikua mfungaji Bora Ligi ya Mabingwa 2014 licha ya timu yake ya Yanga kutofika fainal. Alipachika jumla ya goli 6.
 
Tuisila ana miaka 22 bado umri mdogo na ana nafasi kubwa ya kuendelea kua mtamu, ana muda wa kuendelea kuji funza . Chama yeye ndio amefikia kwenye ubora wake na kwa Hali ilivyo Pale Simba ndio amesha maliza Hana nafasi ya kucheza ulaya Wala Timu yoyote kubwa au Ligi yoyote yenye ushindani mkubwa. Anamalizia pensheni yake, Kasi ya uchezaji wake haimpi nafasi ya kucheza kokote kwenye mpira wa nguvu na Kasi. Mfano Siku ambayo anacheza dhidi ya Yanga mpira unakua na Kasi Sana na nguvu kubwa, pale chama uwa anapotea kabisa na mechi za aina hii ndizo zilizopo katika nchi zenye ushindani.
Jibu swali, ile mibio ua kisinda mpaka anapitiliza golini ina faida gani kwa yanga?
 
Huyu ni Clatous Chotas Chama. Huwa hana mbio sana. Ni mtembeaji tu Uwanjani. Ana assist 15. Angalia mwenyewe ASSIST ngapi? 15 na magoli mangapi? 7 kama sikosei

View attachment 1860679

Huyu ni Tuisila Tununu Tusinda. Huwa ana mbio sana. Ni mkimbiaji uwanjani. Ana assist 5. Angalia mwenyewe ASSIST ngapi? 5 na magoli mangapi 4 kama sicko
View attachment 1860683

Sasa hapa ndo nachanganyikiwa. HUYU TUISILA KISINDA HUWA ANAKIMBILIA NINI? Maana mbio zake hazina maana sasa. Si bora awe anatembea ana assist magoli na kufunga sometimes kuliko kukimbia kimbia tu kama mwendawazimu?

Kuna tofauti kubwa usajili wa Simba na Yanga. Yanga wanaweza kukusajili tu kwa kuwa una mbio sana. Au una suka rasta au kupaka nywele zako rangi. Lakini Ukisema wewe Mkongo hapo unasajiliwa kwa haraka zaidi. Tofauti na Simba. Wanatulia kwanza wana check..... Kisha wanasajili. Kama walivyofanya kwa Bernard Morrison, Chama, Luis, Bwalya, Mugalu n.k.

Tulikuwa tunakunywa mtori sana. Nyama zimekutwa zipo chini. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ungeongea huu upuuzi wako mbele ya yule Babu yenu Joash Onyango, haki ya nani angekung'ata meno kwa hasira!

Yaani unamsema mtu ambaye mara zote anaona ni nafuu tu kumshika jezi, kuliko kumuacha akafunge!! 😁😁😁
 
Chama pia ni mchezaji pekee wa Simba ambaye ameingia kwenye kikosi bora cha CAF- Club bingwa msimu huu Kutokana na record nzuri za Assist na kufunga.
Na huko wametumia mbeleko za Karia?
Hicho kikosi bora cha CAF source yake ni ipi, ukipita kwenye page za CAF hakuna post ya kikosi hicho, ww hicho kikosi umekitoa wapi?
 
Baadhi ya mashabiki wa mbumbumbu fc hawajui kwamba Mrisho Ngasa alikua mfungaji Bora Ligi ya Mabingwa 2014 licha ya timu yake ya Yanga kutofika fainal. Alipachika jumla ya goli 6.
So what? Unaweza ukafunga matches mbili mabao 10 na yakawa hayana faida.
 
Chama pia ni mchezaji pekee wa Simba ambaye ameingia kwenye kikosi bora cha CAF- Club bingwa msimu huu Kutokana na record nzuri za Assist na kufunga.
Na huko wametumia mbeleko za Karia?
Duh,hii sijaipata mwanangu,kumbe Chama mpaka jicho la kimataifa limemuona!
 
Kumbe hata mpira huufahamu. Na CAF nako TFF ilishiriki kuibeba Simba? Kwa hali hii utapata sana kichefuchefu. Pole lakini.
Nyie si ndio mlikuwa mnapulizia dawa za kuwamaliza nguvu wachezaji wa timu za wageni kwenye dressing room zao na mapaka yenu na TFF inawaruhu kufanya ujinga wenu, sasa Yanga tuna watu tunajua michezo yenu na ndio Maana tar 3. Tukawapa kichapo na tunasubiri tar 25 tuwanyooshe tena FC mapaka nyie
 
Tuacje usha iki maandazi, nazungumza kama mshabiki wa simba..

Assist ni nini, pasi ya mwisho ambayo inaenda kuleta goli, vipi kama unapiga pasi nzuri na bado mtu akashindwa kufunga!? Tukudharau.. Umepiga pasi 3 nzuri mtu kakosa na mwingine kapiga pasi 1 imekuwa goli, huyu aliyepiga 3 tumdharau, mimi ni muumini wa "chances created" kuliko"assists"..
Na ndio maana ikaitwa team, ukipata mtengenezaji nafasi, upate na mtumiaji nafasi, unapiga pasi nzuri sarpong yeye na kipa anakosa, hili ni tatizo pia.

Kwangu tukiweka ushabiki pembeni, kisinda, mukoko na yule mburundi ntibazonkiza ni wachezaji haswaa..

Kazi ya kisinda tumeiona wenzie wamemuangusha
 
Luc Eymael alisema YANGA NI MBWA NA MANYANI TU hawana akili wanapiga kelele kama hao wanyama. Sasa nmemwelewa. Hakukosea.🐒🐒🐒🐒

Sasa endelea kuamini ktk chances created. Wenzako wanachukua ushindi kwa chances scored. Tusila Tununu hana kipya....mara ngapi anakimbia anatoka nje ya uwanja?mara ngapi anakimbia ana butu juuuuuu.... Amekuwa mchezaji machachari tu. Mchezaji mzuri ni yule anayesababisha ushindi.kwa sasa hamna namna Yanga tuendelee kumbebelea Tusila.

Kweli hapa nimeanza kuelewa maana ya mbumbumbu FC, na mbeleko fc
 
Sasa endelea kuamini ktk chances created. Wenzako wanachukua ushindi kwa chances scored. Tusila Tununu hana kipya....mara ngapi anakimbia anatoka nje ya uwanja?mara ngapi anakimbia ana butu juuuuuu.... Amekuwa mchezaji machachari tu. Mchezaji mzuri ni yule anayesababisha ushindi.kwa sasa hamna namna Yanga tuendelee kumbebelea Tusila.
Sawa mbumbumbu FC na mbeleko fc
 
Kutoa assist inategemea na wachezaji wanaoweza kubadilisha shambulizi kuwa goal. asa kwa forward kama za akina sarpong na Nchimbi utegemee kuzitendea haki pass za magoli?
 
Kwangu kuzungumza na mtu ambae anataka kuleta ushabiki maandazi huwa siwezi.. Mie nimezungumzia chance created sababu mada imebase hasa kwenye assist.. Haya niambie huyo tuisila aliluwa anapata nafasi za kufunga ngapi per game!? Ambapo anakuwa si mfungaji sana Tuisila akicheza winga ya kushoto anacheza ile old fashion.. Atleast acheze winga ya kushoto..
 
Back
Top Bottom