Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

Swali hilo tayari ni red flag kuwa hapo unamtongoza malaya.

Mdanganye kwa sababu anataka aone anakuweka kwenye kundi gani la anaowapiga vizinga

Halafu na wewe muulize je, yeye ni bikira?

The game is brutal but still fair
Vipi na mwanaume anaetongoza mwanamke swali la kwanza kwa mwanamke anafanya kazi gani? Tena hawa ndio wengi sana siku hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mm

Kwahiyo ukikutana nae fresh tu.
Kuna mmoja humu
We ukiulizwa unafanya kazi gani muulize unataka nigawie mshahara huku una tabasamu...πŸ™‚
Kuna mmoja humu aliniumizaga nafanya kazi gani nikamjibu nauzaga majeneza akaniblock kabisaπŸ˜€ila badae nilimfuata Pm na Id mpya nikajifanya nauzaga magari kutoka Japan akanikubali fasta japo sikufanikiwa kumla maana alianza vizinga mfurulizo nikaona nipite hivi
 
Alafu hii kauli kwani si ni nyie ndio mnasema mwanamke hana cha ku'ofa zaidi ya sex sasa hao wenye kazi mnawataka wa nini? Ama kweli dunia ina mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisikia inasemwa mwanamke hana cha kuoffer zaidi ya K sio kwamba tunawapongeza

Hilo huwa ni dongo indirect kwa mwanamke ambaye mchango wake ni K tu
 
Mi akiniukiza hilo swali na mi naweka standard yangu ya Chini kabisa, Je una bikra? Akijibu sina Huyo sio wa kuoa namuacha Mazima, Bikra lazima awe nayo na hakuna kisingizio, Haiwezekani nioe mke wa mtu kizembe hivyo, Wanaume lazima tuwe na standard sio kuzoa zoa tu, Wao wanazingatia financial security kwanza na sisi tuwe na Kigezo ambacho kina usalama mkubwa, Minimum iwe Bikra basi
 
Uziri kwenye kutongoza sina wasiwasi wa wanaume wenzangu ,kwani huwa tuna ongea na kutoa majibu mazuri yenye mvuto ili mlengwa anase kiulaini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtu kuwa na kazi nzuri ni kitu kingine na kuhudumia mwanamke ni kitu kingine
Alafu kunawanaume wanapenda kuuliza wanawake ilo swali sijui nao Huwa wanatak nn
 
Mwnamke ukimuaidi ndoa anakuganda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…