Hili swali linanitatiza sana, kuna utaratibu wowote wa mwanajeshi kuacha kazi, pale anapotakiwa kwenda vitani?

Mkuu mfano ikitokea mtoto wa Museven akawa Rais na ukichaa wake akaamua kuivamia Tz kudai mpaka alio dai Idd Amini vita itakua ni LAZIMA

Na iwapo katika vita wanajeshi wengi wakipoteza uhai hata wewe kama bado umri unaruhusu UTALAZIMISHWA kwenda vitani na room ya kukataa haipo....... nani sasa akakupiganie wewe?

Kwa mfano hivi sada Ukraine Russia Israel vijana wote NI LAZIMA kwenda vitani....... hutaki unataka utakwenda
 
Vita ndio ilivyo, dont sign up kama unataka kuvaa tu gwanda uitwe mwanajeshi, sign up sababu uko tayari ku lay your life down for the country

Na hiyo ndio calling ya jeshi. Kufa ni outcome tu
 
Ni nani huyo aliekudanganya askari si raia? Askari ni raia kama wengine but yeye ana mafunzo ya kijeshi na uvumilivu wa Kila hali.
Kwa maana ya sentensi yako ni kwamba hata mwalimu so raia kwasababu ya kazi yake!
Wazi?
Nadhani hujanielewa naongelea kwenye perspective ipi. Achana na u jkt wako sawa?
 
Vipi kuhusu DP World kuchukua pande la nchi ndani ya nchi nyingine na kisha wao kulimiliki? Hivi hao Wanajeshi ambao wanaoogopa nchi yao kuchukuliwa na Watu wengine wako wapi?
DP si walisainishana na government officials . Kwani walikuja kwa njia za kuiteka bandari na kuimiliki ? . Wale ni wawekezaji ambao wamekubalika na viongozi wetu, sisi mihemko yetu wala sio shida .. kama unahisi walikosea ni sisi sasa raia kupinga huo uongozi uliopo madarakani ..
 
Pole sana , kama umewahi serve, hiko ndio kiapo , tz sio communist country ni mixed systems
I was there first time nakula kiapo with wengine wengi back in the days
Tanzania siyo nchi yenye Utawala wa kikomunisti? Nani kakudanganya?

Je, unafahamu kwamba CCM Mfumo wao wa Utawala wa nchi na Serikali inafuata Itikadi za Kikomunisti/ujamaa hususani Itikadi kali ya Juche ??? Kwanza unaelewa maana ya Itikadi na misingi ya Juche pamoja na dhana nzima ya Juche? Are you aware about that Ideology so called Juche ? Do you know anything about Jurip, Jaju and Jiraw in regards to Juche ideology ?
 
Ebu tufafanulie kuhusu Juche, Jiraw, Jaju n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…