Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #101
Kati ya ardhi na uhai, kipi ni muhimu?Mkuu mfano ikitokea mtoto wa Museven akawa Rais na ukichaa wake akaamua kuivamia Tz kudai mpaka alio dai Idd Amini vita itakua ni LAZIMA
Na iwapo katika vita wanajeshi wengi wakipoteza uhai hata wewe kama bado umri unaruhusu UTALAZIMISHWA kwenda vitani na room ya kukataa haipo....... nani sasa akakupiganie wewe?
Kwa mfano hivi sada Ukraine Russia Israel vijana wote NI LAZIMA kwenda vitani....... hutaki unataka utakwenda