Hili swali linanitatiza sana, kuna utaratibu wowote wa mwanajeshi kuacha kazi, pale anapotakiwa kwenda vitani?

Hili swali linanitatiza sana, kuna utaratibu wowote wa mwanajeshi kuacha kazi, pale anapotakiwa kwenda vitani?

Mkuu mfano ikitokea mtoto wa Museven akawa Rais na ukichaa wake akaamua kuivamia Tz kudai mpaka alio dai Idd Amini vita itakua ni LAZIMA

Na iwapo katika vita wanajeshi wengi wakipoteza uhai hata wewe kama bado umri unaruhusu UTALAZIMISHWA kwenda vitani na room ya kukataa haipo....... nani sasa akakupiganie wewe?

Kwa mfano hivi sada Ukraine Russia Israel vijana wote NI LAZIMA kwenda vitani....... hutaki unataka utakwenda
Kati ya ardhi na uhai, kipi ni muhimu?
 
Na nchi gani ingeruhusu wananchi wake? To do that hairuhusiwi kisheria na ukienda kijanja sahau kurudi maana una kesi ya uraia
Ingesaidia sana kukua kiuchumi, kuliko kutegemea tu kupeleka malighafi ili kupata fedha za kigeni.
 
Kwa mazigira hayo, si bora waje Afrika kuchukua nguvu kazi?
Itafika muda hili litawezekana kupitia contractors wa kivita kuja kuajili. Nina jamaa nilisoma nae katumika jeshi la US,tours mbili kaenda mashariki ya kati,kastaafu kwa Sasa.
 
Itafika muda hili litawezekana kupitia contractors wa kivita kuja kuajili. Nina jamaa nilisoma nae katumika jeshi la US,tours mbili kaenda mashariki ya kati,kastaafu kwa Sasa.
Kwa huko mbeleni litawezekana, nyakati zinabadilika.
 
Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi.

Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi.

Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.​
Kwenye kuwaza kwako hujajiuliza kazi ya jeshi ni nini? Na mtu anapochagua kujiunga na jeshi amechagua kufanya nini?
 
Aya, fia vitani ardhi ibaki
Mkuu hii sio issue ya KUCHAGUA
Hata mimi sipendi vita na sipo tayari kwenda vitani

Hii ni issue ya MFUMO(system) ya maisha ya dunia yetu kwamba ikilazimu basi ni LAZIMA utakwenda vitani hutaki unataka..... UTAKWENDA
Ndio maana nikakutolea mfano wa Ukraine vijana wote ni LAZIMA kwena vitani

Mkuu ingia chimbo ujifunze asili ya chanzo cha vita nini?
Usiangalie tu watu kufa vitani..... angalia chanzo
 
Ila ishu ni ileile ulinzi wa amani sio mapi

Maelezo yako haya kwa kiasi kikubwa Sana yamejikita katika Sheria, Kanuni, taratibu pamoja na tamaduni zilizopo Tanzania, lakini hayajihusisha kwa undani na masuala mtambuka ya kijeshi katika Mazingira ya kidunia kwa ujumla wake. Aidha, ukienda kwenye nchi zingine hali ipo tofauti kidogo na hivyo ulivyoeleza.
Ni sahihi ndio maana nimerejelea kwa kutumia sheria za Jamhuri sio za kimataifa.
 
Sawa mkuu. Vita Iko kati ya Congolese army na waasi but Sadc ni walinda amani tu. Vita tungeshiriki Kila wiki tungekuwa twapokea body bags. Vita si lelemama. Mwamba mmoja anasema alikuwepo Lebanon mwaka 2009. Siku Moja Israel aliishambulia Lebanon karibu kabisa na UN peace keepers base. Anasema ilikuwa siku mbaya sana. Ni siku pekee aliyoshangaa kwanini alililia kwenda Kule. Anasema Bado hakukoma alirudi Tena 2014 kulekule.
Nb.
Vita si lelemama Kila mwananchi wa taifa hili asimame kidete kuhakikisha hakuna mwanya adui wetu tusiowaju na tunaowajua atatumia Kuleta machafuko. Mungu asaidia. Amina
 
Kwa nchi zinazopigana mara kwa mara, huwa kuna vijana wanaolilia hizo kazi?
 
Kwa nchi zinazopigana mara kwa mara, huwa kuna vijana wanaolilia hizo kazi?
Hakuna vijana wanaolilia hizi kazi hasa katika nchi zenye vita kubwa. Ukraine ni mfano mzuri. Hakuna anaetaka kufa kizalendo tena.vijana wanakimbia na kujichimbia. Juzi kati waliokuwa wamenaswa kupata mafunzo huko Ufaransa walikimbia kambini.
Nb.
Hata kama ni wewe utakubali upate mafunzo wiki then uingie vitani?
 
Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi.

Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi.

Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.​
Ningekuwa mjeda halafu niko vitani ningejificha mapangoni mpaka mapambano yapoe.....kwanini nife kizembe wakati huku town watu wanakula BIA.
 
Ningekuwa mjeda halafu niko vitani ningejificha mapangoni mpaka mapambano yapoe.....kwanini nife kizembe wakati huku town watu wanakula BIA.
Ni ngumu kujificha, wenzako watakutanguliza
 
Nchi ikizidiwa au ikiwa vitani kila mwanaume ni mwanajeshi...yule jamaa aliyeenda battle ya visu na askari wa Ukraine,mwaka jana tu alikua raia ,fundi makenika
 
Katafute movie inaitwa WE WERE SOLDIERS ya mel gibson au BORN TO KILL

utapata ABC za wajeda na akili zao!
 
Back
Top Bottom