Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40.
Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi.
Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na kuweka hela na bahasha na kurudi mezani kuu. Kwa hakika hili ni tambiko la aina yake.