Hili Tamasha la kufunga Kizimkazi Kuna Tambiko kubwa linafanyika muda huu? Kweli nchi haiendeshwi na katiba.

Hili Tamasha la kufunga Kizimkazi Kuna Tambiko kubwa linafanyika muda huu? Kweli nchi haiendeshwi na katiba.

Hili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40.
Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi.
Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na kuweka hela na bahasha na kurudi mezani kuu. Kwa hakika hili ni tambiko la aina yake.
Haisaidii kitu
 
Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi.
Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na kuweka hela na bahasha na kurudi mezani kuu. Kwa hakika hili ni tambiko la aina yake😂😂😂😂😂😂
Mwaka huu tutaona mengi sana.
Hebu tusaidie mkuu hii kitaalamu wa kitamaduni ina maana gani?
 
Kwahiyo unamponda mwarabu na unajisikia fahari kwa mzungu? Akili za mwafrika Bado ni za kishenzi tu hata baada ya miaka zaidi ya 60 ya kupata uhuru.

ni wapi nimemponda mwarabu? nimeelezea asili na maana ya neno “mshenzi” , kwamba mshenzi ni neno la kebehi dhidi ya muislamu mweusi aliloitwa na mwarabu …
 
Ndo maana simba aliefungwa kwenye kibanda akaitwa Lissu,,,,,,mwakani mama anashinda kwa 100% yani zaidi hata ya Kagame alivyoshinda huko Rwanda
Ndio hivyo mambo yashafanywa kienyeji hapo Kiz.
 
Back
Top Bottom