Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40.
Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi.
Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na kuweka hela na bahasha na kurudi mezani kuu. Kwa hakika hili ni tambiko la aina yake.
DuhNdo maana simba aliefungwa kwenye kibanda akaitwa Lissu,,,,,,mwakani mama anashinda kwa 100% yani zaidi hata ya Kagame alivyoshinda huko Rwanda
Hata zikiwa fomu 10 kikubwa Mama hadi 2030
Hata zikiwa fomu 10 kikubwa Mama hadi 2030
Zije idadi yeyote hata hio 1 ishu ni kwamba mama hadi 2030Kumbe ikiwa moja utasema je?
Ameibiwa hapo Mama YenuππHili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40.
Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi.
Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na kuweka hela na bahasha na kurudi mezani kuu. Kwa hakika hili ni tambiko la aina yake.
Mkuu nakushauri jipinde pinde uchuke la laki tatu na nusu ndio linakua na kisirani kidogo la laki mbili jini la wajumbe wa nyumba kumi hiloUnauliza tena Zenzibar ngoja niende nikanunue ata jini la laki mbili linisaidie ktk mambo yangu
mnauziwa ghali sana. jini mpaka 500 unapata na ukilalama unapunguziwaMkuu nakushauri jipinde pinde uchuke la laki tatu na nusu ndio linakua na kisirani kidogo la laki mbili jini la wajumbe wa nyumba kumi hilo
Hehee majini ya kubetiamnauziwa ghali sana. jini mpaka 500 unapata na ukilalama unapunguziwa
We bwana utakua uliuziwa jini la Handeni Tanga basi ongea na watu vizuri kule wanakopesha majini unalipia taratibu taratibu ukipatamnauziwa ghali sana. jini mpaka 500 unapata na ukilalama unapunguziwa
Chanzo cha ndugu albino kuwindwa ni haohao CCM.Hili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40.
Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi.
Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na kuweka hela na bahasha na kurudi mezani kuu. Kwa hakika hili ni tambiko la aina yake.
ππππ tumeambiwa ni mambo ya utamaduni mkuu.Mambo Ya CCM Hayo Sasa Subiri Fisi Waletwe Hapo