Hili Tamasha la kufunga Kizimkazi Kuna Tambiko kubwa linafanyika muda huu? Kweli nchi haiendeshwi na katiba.

Haisaidii kitu
 
Hebu tusaidie mkuu hii kitaalamu wa kitamaduni ina maana gani?
 
Kwahiyo unamponda mwarabu na unajisikia fahari kwa mzungu? Akili za mwafrika Bado ni za kishenzi tu hata baada ya miaka zaidi ya 60 ya kupata uhuru.

ni wapi nimemponda mwarabu? nimeelezea asili na maana ya neno “mshenzi” , kwamba mshenzi ni neno la kebehi dhidi ya muislamu mweusi aliloitwa na mwarabu …
 
Ndo maana simba aliefungwa kwenye kibanda akaitwa Lissu,,,,,,mwakani mama anashinda kwa 100% yani zaidi hata ya Kagame alivyoshinda huko Rwanda
Ndio hivyo mambo yashafanywa kienyeji hapo Kiz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…