Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

Kwani unaongelea nn tv na redio ni zake yule au anahisa ndogo tu
Wewe una hata hisa ya 0.0001% kwenye online tv? Maana nikisema Radio's na Tv zinazotumia satellite nitakuwa nakuonea masikini wewe.

Tv na Radio vina title yake ambayo yeye ndio founder wake (WASAFI) haijalishi ana hisa 10 au 5 we don't care.

Wewe unamiliki nini zaidi ya majungu?
 
Na wewe teja vilevile ndio maana unaangalia na kufatilia
Kenge wewe, niko nimepumzika kesho naamkia kanisani, tatizo kelele za spika zenu za huko posta zinanivurugia usingizi. Siwezi simama huku nikiangalia mwanaume akiimba hna kupiga makofi kama msukule
 
We tambua kama unavuta bangi kichwa chko hakipo sawa kama hao wahuni wenzako waliopanda stejini
hakuna kitu kama hiyo bangi haina shida, labda kichwa yako ina wadudu ndo maana unawehuka, wavuta bangi ni wastaarabu sana
 
Nna miliki figo na maini na moyo acha ushabiki maandazi sote tunajua kutukana humu usifkiri mtu kukuuliza ni ndeezi au kukujibu kistaarabu ni kolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…